gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Wanatufosi tuingie mkataba wa kinyonyajiMkataba gani wa kimangungo? Wa kimangungo kivipi?
Sema hapa wa kinyonyaji kivipi?Wanatufosi tuingie mkataba wa kinyonyaji
Kwani kunyonya kukojeSema hapa wa kinyonyaji kivipi?
Sema were hup unyonyaji upoje? Hayo madai umeyaweka wewe sio mimiKwani kunyonya kukoje
Uzuri gesi haiozi