Uingereza: Wanawake waislamu wawafaidisha madaktari kwenye kutengeneza bikra

Uingereza: Wanawake waislamu wawafaidisha madaktari kwenye kutengeneza bikra

Source ya info yako.
Wanawake wa kiislamu wengi wanakuwa katika hatari ya kuuwawa inapotokea wakathibitika kuwa wameolewa bila kuwa na bikra.

Baadhi yao wamejiwekea utaratibu wa kuwafuata madaktari ili kuwarudishia bikra zao, tabaka la ngozi kwenye uke.

Kuna hatari ya kuwa kama utengenezaji wa bikra utazuiwa basi kuna hatari kubwa ya waislamu kufanya hivyo kimagendo.

Halaleh Taheri, muasisi wa Middle Eastern Women and Society Organisation amemzungumzia mwanafunzi Mmoroko anayejificha uingereza baada ya kusikia baba yake kamuajiri mtu ili amuue baada ya kugundua kwamba binti huyo hana bikra.

Kuna takribani kliniki 22 ndani ya uingereza ambazo zinafanya upasuaji wa kuweka tabaka la ngozi ili mwanamke kurudi kuwa bikra

Inagharimu hadi £3,000 sawa na Tsh milioni 9, kwa upasuaji ambao huchukua takribani lisaa kukamilika.

Wapiganiaji haki za wanawake wanasema kliniki hizo zinafaidika kutokana na uwepo wa waislamu ambao huogopa kuonekana sio wasafi siku ya ndoa.

Katibu wa afya Matt Hancock amesema wanachunguza namna ya kukomesha tukio hili bovu Lakini idara ya afya imekataa shauri hilo kutokana na ugumu wa kutekeleza zuio hilo.

Taheri amesema: "wasichana wanaweza kuishia kufa kama kutakuwa na zuio la kutengeneza bikra kwa kuwa itafanyika kimagendo

Dr Khalid Khan, aliyewahi shuhudia namna upasuaji huo iunafanyika na kusema haitakuwa sahihi kuzuia upasuaji huo

Dr Naomi Crouch, amehofu kuhusu wanawake na wasichana watakao lazimika kufanya tukio hilo ambalo halina manufaa yoyote kiafya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nyie wajinga wajinga msie fahamu dunia inaendaje mmeamini na kuingia mkenge mpaka povu lina watoka hizo ni mbinu tu za watu wanao tafuta hifadhi ya kupata kibali kuishi uingereza
 
Hii imani ya karne ya saba ndio watu wengine wapumbavu bado wamekariri. Kwanza wewe baba unajuaje kuwa binti yako kavunja ubikira.

Huyo mwaarabu anayetamani kumuua binti yake kwa kisingizio cha kijinga hivyo hilo swala la ubikra linamuusuje yeye kama baba badala ya mchumba mtarajiwa wa binti au ina maana yeye hana dhambi yoyote hapo alipo? Mnafiki mkubwa huyo, au anataka amuoe huyo binti yake.

Waarabu na huu utamaduni wao wa karne ya saba unawapa conservatism fulani inayowafanya waonekane jamii ya watu bogus sana. Waarabu waelewe hatuko karne ya saba leo.
Kwao kesi nyingi adhabu ni kifo.
Hama dini pakistani au indonesia au saudia halafu wajue uone msala wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeomba link kutoka kwa mleta mada ili tusome chanzo cha habari yake. Naona ana chuki fulani tu za kijinga na Uislam.

Mimi ndiyo nimeyasoma hapa na hayaingii akilini.

Nijuavyo bikra feki zinatengenezwa hata majumbani tu, dakika tano nyingi. Si lazima uende kwa daktari.

Wajinga ndiyo waliwao.
mwenzako anayejiita ubwabwa mtamu kaufurahia sana huu uzi wa kuwasifu wanawake wa kiislamu kwa utapeli wao wewe unampinga mleta uzi, mnatabu nyinyi, hebu elewaneni
 
Huo ni upuuzi yani kutolewa bikra ndo sababu ufanye mikakati ya kumuua binti yako?

Huu utopolo wa hizi dini utaisha lini mazee?
Ndomana wachina wanawatimua kule kwao.hawatak ujinga
 
Kosoa uislamu uone adhabu ya kifo inavyotolewa. Zanzibar yenyewe watu wakila mchana kipindi cha Ramadhan, wanachapwa viboko. Hii dini huwa sielewi kabisa. Dini kama kikundi cha wauza madawa ya kulevya yaani ukitoa siri au ukienda kinyume na masharti yao unauwawa.
Kwao kesi nyingi adhabu ni kifo.
Hama dini pakistani au indonesia au saudia halafu wajue uone msala wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nyie wajinga wajinga msie fahamu dunia inaendaje mmeamini na kuingia mkenge mpaka povu lina watoka hizo ni mbinu tu za watu wanao tafuta hifadhi ya kupata kibali kuishi uingereza
Mkuu umeonyesha jinsi gani ulisivyokuwa na idea jinsi vitu vinavyoendelea katika tamaduni ambazo zinazotilia mkazo mwanamke awe bikra kabla hajaolewa. Hii ni kweli inatokea nchi za Mashariki ya kati hata baadhi za nchi za Afrika mfano Somalia. Labda hujasikia stori za kuwa baadhi ya wasichana wa Kiarabu, kimanga, kisomalia huwa wanatoa nyuma ili watunze ubikra wao hadi siku za kuolewa. Kumbukeni utamaduni wa eneo sio lazima ujali dini ya mtu. Kwa hiyo Waislamu, Wakristo, na wasio na dini huwa wanafuata hivi vitu subconsciously. Mfano kwetu Tanzania uwe mkristo au muislamu tunatumia mkono wa Kulia kulia chakula .
 
Yani wasiliamu bana...unaulizwa swali nawewe unauliza swali
Yaani makafiri bwana. Yaani linauliza swali nusu halafu linataka jibu kamili.
Zinaa ni tendo la watu wawili mwanamke na mwanaume sasa kwanini auhukhmiwe mmoja au unamaanisha zinaa ya CHAPUTA?
 
Yaani makafiri bwana. Yaani linauliza swali nusu halafu linataka jibu kamili.
Zinaa ni tendo la watu wawili mwanamke na mwanaume sasa kwanini auhukhmiwe mmoja au unamaanisha zinaa ya CHAPUTA?
Sijataka kujua kuhusu mwanaume ningetaka ningemuulizia...mfano mwanangu darasani wako 80 lakini wakifanya mitihani huwa siulizi matokeo ya kila mtu ingawa yanakuwepo,huwa nauliza matokeo yake tu (mwanangu)...sasa wewe bwandugu usijifanye kichaa
 
Asante mimi najifanya kichaa ila wewe ni kichaa kimili.
Katika huo mfano wako mfu, Je huyo mwanao mwanao na wenzake hufanya mtihani kwenye karatasi moja au kila mtoto huwa na karatasi lake?
HEBU TUMIA MFANO WA GROUP DISCUSSION
AMBAPO WANAFUNZI HUDISCUSS KITU KISHA WAKIMALIZA MAJIBU HUPELEKA KWA MKUFUNZI WAO JE MAJIBU YAKIWA SI SAHIHI JE MAKOSA HUWA NI YA WOTE AU MMOJA?
 
Makosa ni ya wote ...haya je mwanafunzi huyo akifukuzwa chuo..wewe kama baba utaanza kuwajali na groupmate wenzake?? Au utadeal na mwanao tu?
 
Makosa ni ya wote ...haya je mwanafunzi huyo akifukuzwa chuo..wewe kama baba utaanza kuwajali na groupmate wenzake?? Au utadeal na mwanao tu?
Hivyo mama na mtoto mchangawake wakifariki wakati mama anajifungua wote watazikwa kaburi moja?
 
Back
Top Bottom