Mkuu umeonyesha jinsi gani ulisivyokuwa na idea jinsi vitu vinavyoendelea katika tamaduni ambazo zinazotilia mkazo mwanamke awe bikra kabla hajaolewa. Hii ni kweli inatokea nchi za Mashariki ya kati hata baadhi za nchi za Afrika mfano Somalia. Labda hujasikia stori za kuwa baadhi ya wasichana wa Kiarabu, kimanga, kisomalia huwa wanatoa nyuma ili watunze ubikra wao hadi siku za kuolewa. Kumbukeni utamaduni wa eneo sio lazima ujali dini ya mtu. Kwa hiyo Waislamu, Wakristo, na wasio na dini huwa wanafuata hivi vitu subconsciously. Mfano kwetu Tanzania uwe mkristo au muislamu tunatumia mkono wa Kulia kulia chakula .