Uingereza yagoma kutoa takwimu za COVID-19

Baada ya ule msemo tulioaminishwa "Corona imepungua/imekwisha" watu wakapuuza uvaaji wa barakoa, wakapuuza kunawa mikono, mikusanyinyiko imerudi kama kawaida, dah!!😁
Kama watu wangekuwa wanaona watu wengi wakiumwa visivyo kawaida na vifo vikiongezeka ni wazi hiyo kauli ya "corona imepungua/kuisha" isingewaingia watu,hebu mtu anaona mtaani kwake watu wanaumwa na kupukutika halafu umwambie corona hamna na ndio aache kuvaa barakoa wala kunawa mikono?
 
Napoishi mimi wamekufa wengi tu, ndio maana najihadhari zaidi.
 
Unafikiri kwanini mtaani kwenu wamekufa wengi? maana wengine hawana hata kifo kimoja mtaani kwao,kazini kwao,hadi ukoo wao kabisa. Ni kwamba nyie mtaani kwenu hamnawi mikono na kuvaa barakoa au tatizo nini?
 
Napoishi mimi wamekufa wengi tu, ndio maana najihadhari zaidi.
Oooh pole huo mtaa upo Tanzania hiihii?
Basi huo mtaa itabidi tuutenge kabisa, mtaa ambao unaambukizana kimtaa tu watu wengine tunachanganyika na wamtaa huohuo makazini,sokoni na maeneo mengine Lakini wanakufa wao mtaani kwao tu.
Poleni sana
 
Umelipwa na chama fulani wewe sio bure
 
Habari ya uongo hii kila siku worldometer wanaweka idadi ya vifo na maambukizi mapya ya uk
 
Back
Top Bottom