Uingereza yagoma kutoa takwimu za COVID-19

Uingereza yagoma kutoa takwimu za COVID-19

Leo tarehe 7/7/2020 wametoa updates vifo vimeanza kuongezeka. UK tofauti yao pia na TZ ni wanahimizwa kuvaa barakoa, kitu muhimu sana. TZ watu kimya kimya kuugua na wengine kufariki, na kuacha wameambukiza wengine.
Hakuna kufa kimya kimya mkuu, kifo hakifichiki
Tupe data mtaani kwako wamekufa wangapi?
 
Uku UK ukipanda public transport bila barakoa unapigwa fine. Vyuo na mashule wanatarajia kufungua September 1. Maduka wameanza kufungua na ukienda kuna alama kabisa imeekwa ya kusimama Yani 2 meter apart hakuna kusogeleana.
 
Uku UK ukipanda public transport bila barakoa unapigwa fine. Vyuo na mashule wanatarajia kufungua September 1. Maduka wameanza kufungua na ukienda kuna alama kabisa imeekwa ya kusimama Yani 2 meter apart hakuna kusogeleana.
Halafu buku 7 anakuambia wamefuata ushauri wa Magufuli
 
BAVICHA tuliongea toka siku ya kwanza kilichokua kimebaki ni kutekeleza tu
 
Magufuli ana maono makali sana. Alisema ifikapo 2025 Tanzania ifikie uchumi wa kati na imekuwa kweli, akasema tena anataka kuzalisha mabilionea katika utawala wake na imekuwa kweli kwa mchimba Tanzanite kupata mawe mawili na kuingia kwenye kundi la ubilionea na ukija kwenye issue ya Corona kila mtu amejionea maono yake. Magufuli ana kitu fulani watu wengi hawana, huo ndiyo ukweli.
Facts. Tukiyasema hayo tunaonekana mapunguani... kumbe wakosoaji wametoka pale Mirembe dirisha la wodi no.14 acute kuchukua DAWA zao haloperidol.... Magufuli is charismatic, talented, visionary with exquisite brain... time will tell🤹🏽‍♂️🏊🏊🏊
 
T
Facts.Tukiyasema hayo tunaonekana mapunguani...kumbe wakosoaji wametoka pale Mirembe dirisha la wodi no.14 acute kuchukua DAWA zao haloperidol....Magufuli is charismatic,talented,visionary with exquisite brain...time will tell🤹🏽‍♂️🏊🏊🏊
Lengo la serekali ni kufikia 2025 wananchi wawe na kupata Cha Dolla 3000, mwaka huu tumefikia Dolla 1200+, je ni kweli tumefikia lengo la 2025 kuwa mfuatiliaji wa mambo na acha uzwazwa
 
Watanzania corona mnaichukulia very simple, ushabiki mbaya sana. Mpaka ikutokee kwenye familia zenu ndio mtajitambua.

Corona ipo, twendelee kujihadhari zaidi

Mikusanyinyiko
Barakoa
Kunawa na sabuni

Vitu vitatu hivyo vizingatiwe.
 
Watanzania corona mnaichukulia very simple, ushabiki mbaya sana. Mpaka ikutokee kwenye familia zenu ndio mtajitambua.


Corona ipo, twendelee kujihadhari zaidi

Mikusanyinyiko
Barakoa
Kunawa na sabuni

Vitu vi3 hivyo vizingatiwe.
Kinachofanya waichukulie simple ni ile hali mwanzoni tulivyokuwa tunaichukulia hiyo corona na tukawa tuna hofu sana,ila athari za corona zikawa tofauti na kwa vile tulivyoichukulia na hadi tukawa na hofu.
 
Wanafuata msimamo wa magufuli saivi
Sio wanafuata bali wanatuiga, ukiona mpaka mzungu naye kaamua kutuiga waswahili basi ujue kashikwa pabaya, sasa hivi hata ukiwaambia Ugali na kisamvu, bamia na maharage ni dawa ya Covid-19 watakula...
 
Huo uamuzi wa kutotangaza idadi waliutoa kitambo sana miezi miwili nyuma.

Ofisi yao ya takwimu awali ilikuwa ikitoa hizo data na kuna wkati walifikia mpaka 44,000.

Sasa leo ndio wanaweka "handbrake" kwa idadi halisi baada ya kuwakataza ONS kutoa data za majumuisho ya vifo vyote.

Ila idadi kamili yaweza kuwa kubwa sana na ndio maana sasa wanauchukulia ugonjwa kama tatizo endelevu na hawatotangaza idadi kama ilivyo USA.

Ila kiukweli watu wanapukutika kama kuku kila siku.
 
Back
Top Bottom