State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Watoto wa mwaka 2000s hao,hawajui unyama wa Uingereza kwenye medani ya Vita na fitna.Huna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Uingereza ile ya WW1 /2 huwezi ifananisha na hii ya sasa iliyojaza mpaka mashoga jeshiniHuna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Well said👏,Mimi kama Mrusi mweusi sina wasiwasi, jana Putin alisema kuna watu wana wasiwasi hawapaswi kuwa nao...
Kweli hana akiliHuna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Duh! Pole sana kwa kukosa ufahamu.Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki.
View attachment 3159183
“Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade Eastern Europe” .
What a joke 😂😂
UK zaman sio sasa hawezi kwenda head to head hata na Turkey mna mawazo ya enzi za kikoloniHuna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.Vijana bana hivi hujui UK ilitawala karibu nusu ya dunia kwa karibu karne nzima?
Vijisiwa vidogo tu lkn hata Marekani, Canada na Australia waliziachia na kuzipa uhuru!
Hiyo potential haijaisha na vita ni pesa na strategies sio maombi na viapo
Urusi hii inayotolewa kamasi na Ukraine?Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki.
View attachment 3159183
“Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade Eastern Europe” .
What a joke 😂😂
Unapoteza muda kujibu wapuuzi? Ungesoma kimya na kupita tu.Huna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Inanini? Enzi hizo za utumwa sio enzi hizi kila mtu ashakuwa na akiliHuna akil hivi unaijua UK wewe kwenye ulimwengu wavita
Hata mongolia imeshawahi kuitawala asia na baadhi ya nchi ulaya.
Ottoman empire imeshawahi kutawala eneo kubwa tu kibabe.
Hata roma imeshawahi kutawala dunia.
Acha kutuletea historia uingereza hana chochote cha kumfanya mrusi.
Kadiri unavyopigana vita ndivyo unavyozidi kuwa imara na madhubuti na unapata uzoefu mrusi ana uzoefu na vita.
Wabishi wote wa dunia mrusi kawanyonya kamasi kuanzia napolean bonaparte mpaka adolf hitler.