Katika dunia hii kuna mataifa matatu tu ambayo yakiungana yanaweza kuchakaza taifa lolote likapoteana. Mataifa hayo ni USA, UK na France. Kati yao hakuna ataye ingia vitani bila support ya wengine. USA pamoja na power aliyo nayo hawezi kuingia vitani bila ya support ya UK na France. Hizo nchi tatu ndo NATO yenyewe. Hao ndo mabwana wa vita katika dunia hii. Sio kwa miaka iliyopita wala leo au kesho. Kwa sasa hakuna mataifa yenye umoja wa vita kama USA, UK na Ufaransa. Na walivyo na akili wanahakikisha hakuna mataifa yanayofanikiwa kutengeneza umoja wa kupigana kama wao. Kwenye issue za vita wako vizuri kiteknolojia, kimbinu, kiuchumi na kipropaganda. Mataifa mengine kuja kuwazidi hao sio leo