Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

Mimi kama Mrusi mweusi sina wasiwasi, jana Putin alisema kuna watu wana wasiwasi hawapaswi kuwa nao.

Na wasiwasi umenitoka baada ya chuma kimoja tu cha Oreshnik kudondoka dunia nzima imesimama, hawa watu walijiandaa vyema na wanachokifanya.
Huu ushabiki mnao ufanya as if mnashabikia mpira siyo mzuri dada angu..madhara ya hizi vita sisi hatuwezi kuyakwepa..let us be honest. Haipendezi hata kidogo
 
Vita sio uzoefu ni strategies na uchumi imara,
 
Urusi hii inayotolewa kamasi na Ukraine?
Kamasi lipi tuliwaambia Russia anawavuta waingie Nato vitani awanyoleshe soma hii Putin kashazeeka lkn ukitasmin mipango ya nchi za West pamoja na iyo marekani Canada wameisogelea sana Russia kitu ambacho ni hatari kwa mustakabari wa Russia kwanini wanasogelea Russia miaka na miaka adi sasa wapo milangoni mwa mipaka ya Russia? So mjue waRussia chini ya PUTIN wameamua kabla Putin kufa au kuacha nchi itawaliwe na mwengine PUTIN kapewa jukum kuondosha kitisho kilicho izunguka Russia miaka kwa miaka wapo tayali kufa waRussia ata 3milion lkn lengo lao litumie nalo ni kuondosha kitisho ichi kilicho kalibu na mipaka yao Wa Russia wanataka kupigania haki yao inch yao mustakbari wao na kizazi chao hii Vita aitoisha adi Russia wajilidhishe sasa akuna kitisho, hii vita aikwepeki ipo tena kubwa sana lkn Russia ndio mshindi,, Wazungu wa Ulaya na USA bado wanakuna vichwa je huu ndio muda wa vita lkn!! upande wa Russia upo wazi wanaitaka hii Vita kuvunja njama zilizoizunguka RUSSIA Russia bado ajaonesha makali yake. Lkn kimbelembele cha West kinaenda kuisha na mustakbari wa Dunia unaenda Badilika soon.
 
Hawa bado wanaishi kwenye ndoto wanajijuwa wazi bila USA hawana lolote. Kizazi kile kimezeeka wamejaza LBGT na pesa kwishneiiiiiii. Fitna zote duniani hawa ndio waanzilishi.
 
Nilitaka nimjibu kitu kama hicho. UK wako advanced sana katika mbinu na vifaa vya vita

Pia Britain wana Experience kubwa sana ya Vita tangu karne iliyopita kuliko hata Germans, USA na France...wakiitawala dunia
Hiyo history wakati wanatawala makoloni kule kumeisha hawana hata huo utajiri tu umeisha hawa enzi hizo walikuwa kila sehemu wapo wanatawala watu na mali zao, leo hawana ubavu huo kizazi kile kimeisha, pesa hakuna walitumia nafasi yao kutawala dunia kushinda vita kwa kutumia nchi nyingi kama India leo ngoma tofauti.
 
GDP ya uingereza ni ngapi kwa sasa kulinganisha na ya Urusi? Na Military position yake ipoje?
 
Uingereza yenyewe inasema kupigana na Russia labda usiku eti ina wanajeshi laki moja. NATO ni USA tu
 
Nani alikwambia haya? Ni hisia zako au una references?
 
Wanaweza kutuangamiza sisi lakini sio wenzao wenye tech kama wao na zaidi. Kelele tu za kisiasa.
Ni Kweli kivita UK haiwezi kuizidi Russia hata kidogo, na pia nakuhakikishia hizi nchi haziwezi kupigana vita coz hazina uadui, vita sio rahisi kama watu wanavojadili humu

Kwasasa nchi tishio kivita duniani ni USA, CHINA na RUSSIA
 

Attachments

  • Screenshot_20241123_065849_Chrome.jpg
    173.1 KB · Views: 3
GDP ya uingereza ni ngapi kwa sasa kulinganisha na ya Urusi? Na Military position yake ipoje?
Unajuwa GDP isikudanganye unaweza kuwa na kinchi kama Qatar ukaambiwa tajiri number one lakini unagawa na population ya watu nchi haina hata watu million. Hata ukitaka number hizo UK number 7 na Russia 11 kijeshi Russia ana rank nyuma ya USA ila UK ina watu kama milion 70 russia wanagonga 150 huko ki size UK inaingia mara 70 ndani ya Russia.
 
Ni Kweli kivita UK haiwezi kuizidi Russia hata kidogo, na pia nakuhakikishia hizi nchi haziwezi kupigana vita coz hazina uadui, vita sio rahisi kama watu wanavojadili humu

Kwasasa nchi tishio kivita duniani ni USA, CHINA na RUSSIA
Hawa wakubwa watatu USA, CHina na Russia hawatakuja kupigana wao wanalinda maslahi yao tu, nchi za Ulaya pamoja UK ukitaka kujuwa hawana ubayu subiri Trump ashike rasmi Jan tamko lake moja tu wote hawa watakaa kimyaa hawana ubavu huo Germany wameshaanza kubadili gear angani. Wanajuwa hawawezi bila USA, mpaka leo military base za US ziko Germany, hivi kweli USA anaweza kuweka military base Russia? hapo ndio utajuwa nguvu za ulaya, kumbuka Germany kiuchumi super power in EU lakini US wapo pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…