Huyo ndio mother of all nations sasa.Anataka kununua ugomvi huyo tushamjua, anatafuta gear ya kuingilia.
Sasa Iran anaweza kumfanya nini Mama?
Atapigwa na watoto tu Canada, Australia, Jamaica na wengine watamfanya hamna
Are they allies?Ila hawakulaani shambulio la USA kwa Kassimu Selemani. The world is full of hypocrites. Idiots UK.
You support someone's shit just because is your friend. The world is full of idiots.Are they allies?
I don't see any core goals of this comment
We moto unaujua unausikia.Australia hawa hawa ambao wameshindwa kuzima hata moto unaiwasumbua huko kwao?
Australia yenyewe imeshasema iko tayari kutoa majeshi yake ndani ya Iraq iyarudishe kwao.
dodge
Uliataka kumaanisha ILANI au IRAN?Hakuna nchi duniani inayojua machungu ya vita kama UK... Sidhqni hata kama ana mpango wa kuingia huko... Ila walishakuwa alarmed wameanza kuandaa navy huko.... Ilan asijaribu atapigwa kolabo hiyo atoke nyang'anyang'a..
Hilo shambulio limewaathiri waingereza pia... Walikuwa na watu wao pia...hivyo hakuna cha idiot hapoYou support someone's shit just because is your friend. The world is full of idiots.
We moto unaujua unausikia.
Moto uliouwa familia ya Stereo Singasinga nchi yako iliweza kuuzima?
.
Nitafute kwa muda wako nikupe elimu juu ya mioto ya kiangazi, mioto inayojitokeza sehemu kame na kwanini huwa ni ngumu kudhibitiwa na kipi kifanyike ili kama ikitokea iwe rahisi kuidhibiti.
.
Tukimaliza nakupeleka Serengeti mwezi may ukaone vyenye si hufanya
Alitawala zama za giza.Huyo ndio mother of all nations sasa.
Umesahau alikutawala hapahapa miaka mingi na ulishindwa kumtoa hadi akaamua mwenyewe kuondoka?
.
Wahindi hawana hamu nae, Hong Kong wameanza kumtaka tena soon atarudi
Uingereza bwana, yaani alipolipuliwa Qassim Soleimani na Marekani hawakuona wala hawakulaani ila Iran wanapojibu mapigo unalaani!!!
Eti eeeh?Hawakulaani kwasababu qassim alikua anachukuliwa kama gaidi mvuruga amani, ila wanajeshi wa marekani ni wadumisha amani
Umewasahau au sio?
Sasa ngoja warudi
Jiongeze
Hakuna nchi duniani inayojua machungu ya vita kama UK... Sidhqni hata kama ana mpango wa kuingia huko... Ila walishakuwa alarmed wameanza kuandaa navy huko.... Ilan asijaribu atapigwa kolabo hiyo atoke nyang'anyang'a..
Wewe peleka mahaba yako huko....Iran hawezi mpiga UK hata kama UK yupo usingizini..