Uingereza yalaani shambulio la Iran

Uingereza yalaani shambulio la Iran

Unaanzia wapi kuweka kambi kwenye ardhi ya mataifa mengine?Hujiulizi this is not normal at all. Nammiss Saddam Hussein. Yaani ukikutana na wairaki wakianza kukusimulia maisha enzi za Saddam ni ilikuwa bomba,hao wamarekani walikuwa wanakwenda vacation Iraq.
Ndio maana ya superpower sasa... Unataka atulie tu nchini kwake... Hata UK enzi zake aliishika almost dunia yote... Hata Spain enzi zileee....si ndiyo hivyo..?
 
Challenge kiakili!! Hii itaisha lini sasa... Kama ni kutumia akili unadhani vita baina ya US na Japan WWII ingecome to an end... Iran hasikii..,Iran ana kiburi..., anataka aonekane mwanaume kwenye hamna... Anachallenge wakubwa zake... Anataka ashindane na US,UK...Mmoja wapo hapo anatosha kumfutilia mbali..., akawe si kitu mbele ya uso wa dunia..
Iran hasikii wapi? Hicho kiburi cha Iran ni kipi? Na wapi Iran amesema anataka kushindana na US na UK?
 
Hahaha superpower ni nani sasa...sekta. zote muhimu anaongoza..uchumi,kijeshi,elimu,technology etc..
Superpower angehangaika na Iran ? Angehangaika na kuwaspy Iran wanafanya nini ? Superpower unatulia kwako. Maana unajua ije mvua lije jua hakuna anaekuweza.Superpower asingehangaika kumuua Genius Kassim. Superpower anajiamini bwana,hajisumbui na vidagaa maana anajua yeye ni Nyangumi.
 
Iran hasikii wapi? Hicho kiburi cha Iran ni kipi? Na wapi Iran amesema anataka kushindana na US na UK?
Iran kawekewa vikwazo hasikii..... Ana kiburi sababu bado mjeuri....Iran yupo tayari kwa lolote kutoka kwa hao wawili...
 
Iran kawekewa vikwazo hasikii..... Ana kiburi sababu bado mjeuri....Iran yupo tayari kwa lolote kutoka kwa hao wawili...
Iran ndo namuona superpower. Maana wanafanya kila njia kumuangusha. Biashara wamembania. Wanamsingizia anatengeneza silaha nzito za nuclear. Hao USA kwani wao hawatengenezi ?
My dear just imagine Iran bila vikwazo ilivyowekewa. Iran ni superpower. Bila kuibania Iran ingekuwa mbali mno. Wairani wana akili kama mchwa. Wale Persian achana nao kabisa.
 
Iran kawekewa vikwazo hasikii..... Ana kiburi sababu bado mjeuri....Iran yupo tayari kwa lolote kutoka kwa hao wawili...
Vizuri.

Ukitaka kuutibu ugonjwa rudi kwenye chanzo chake usiangalie matokea yake. Sababu ya Iran kuwekewa vikwazo ni ipi?

Kiburi kwa Iran ni mwisho wa matokeo baada ya matokeo ya awali.
 
Superpower angehangaika na Iran ? Angehangaika na kuwaspy Iran wanafanya nini ? Superpower unatulia kwako. Maana unajua ije mvua lije jua hakuna anaekuweza.Superpower asingehangaika kumuua Genius Kassim. Superpower anajiamini bwana,hajisumbui na vidagaa maana anajua yeye ni Nyangumi.
Lazima awe macho... Alinde maslahi yake... Iran sio dagaa kama unavyosema.. Ana uwezo wa kumtingisha marekani mpaka asiamini... Ana nyuklia pia... Ndo maana hata US anajaribu kumdhoofisha kidogo kidogo kwa kuondoa wale vichwa kwanza... Wakiingia vitani Iran anaweza target miji muhimu hata mitatu New York, Los Angeles na DC ikianguka hiyo US basi tena..,Japo wakati huo tunaweza kuwa tunaiona Iran kwenye ramani tu...
 
Iran ndo namuona superpower. Maana wanafanya kila njia kumuangusha. Biashara wamembania. Wanamsingizia anatengeneza silaha nzito za nuclear. Hao USA kwani wao hawatengenezi ?
My dear just imagine Iran bila vikwazo ilivyowekewa. Iran ni superpower. Bila kuibania Iran ingekuwa mbali mno. Wairani wana akili kama mchwa. Wale Persian achana nao kabisa.
Wangekuwa na akili wasingekubali kuingia kwenye vita vya kijinga namna hii. Marekani akili nyingi saaana. Hapo ameitafuta kwa siku nyingi. Soon itakuwa kama Afghanistan,Iraq,Syria na Libya. Yaani itakuwa nchi ya vita masaa 24 na uchumi lazima ushike wakishagawanyishwa. Subiri muda utaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa.. we Mjamaa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah Australia wameita mpk army reserve kuja kupambana na moto hao wanajeshi wa kupigana na Iran itawatoa wapi,hahah.

Canada imebidi ijaribu kuwasaidia Australia kuzima huo moto maana la sivyo wataisha.

Hao wakizingua unapiga kombora moja tu kwny misitu yao moto unaendelea kwa kasi unawaacha wanazima moto tu hahah.

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri.

Ukitaka kuutibu ugonjwa rudi kwenye chanzo chake usiangalie matokea yake. Sababu ya Iran kuwekewa vikwazo ni ipi?

Kiburi kwa Iran ni mwisho wa matokeo baada ya matokeo ya awali.
Aliwakosea na ndio maana akawekewa vikwazo..
 
Back
Top Bottom