Uingereza yatangaza vikwazo vipya vya Kibiashara dhidi ya Urusi

Uingereza yatangaza vikwazo vipya vya Kibiashara dhidi ya Urusi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Serikali imetangaza awamu mpya ya Vikwazo vya kibiashara dhidi ya #Russia ikiwa ni mwendelezo wa Vikwazo kutoka nchi nyingi Duniani kutokana na kuendelea kwa #RussiaUkraineWar

Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya kusafirisha bidhaa na teknolojia mbalimbali nchini humo, usafirishaji wa mafuta ya ndege na usafirishaji wa noti bora au za Umoja wa Ulaya.

....................................................
Britain has introduced a new tranche of trade sanctions against Russia, a notice published on the government website has said.

The notice listed new measures including prohibitions on the export to Russia of a range of goods and technology, the export of jet fuel, and the export of sterling or EU denominated banknotes.

Source: Al Jazeera
 
Walichobakiza ni kuziba anga la russia ili wasivute hewa ya oksijeni.

EU: vikwazwo 10000000........

Russia: Kikwazo kimoja kununua oil,gasi,mbolea na bidhaa nyingine kwa ruble watu ulaya sasa hivi wanatafutana,maandama yashaanza.Sasa Russia angesema hawauzii gesi yake nchi za ulaya sijui sasa hivi wangekuwa na hali gani.
 
Wajerumani wamerudi kwenye matumizi ya mkaa na macho yamesha kuwa mekundu kama wanapuliza mkaa mbichi,Acha nao waingereza wajidai TU.
 
Walichobakiza ni kuziba anga la russia ili wasivute hewa ya oksijeni.

EU: vikwazwo 10000000........

Russia: Kikwazo kimoja kununua oil,gasi,mbolea na bidhaa nyingine kwa ruble watu ulaya sasa hivi wanatafutana,maandama yashaanza.Sasa Russia angesema hawauzii gesi yake nchi za ulaya sijui sasa hivi wangekuwa na hali gani.
Na bado, ni vigumu kuelewa viongozi wa Ulaya wana waza nini?? Wanapelekwa puta na USA unaweza kufikiri nchi za EU ni koloni za Merikani au 51st state za USA aibu kweli kweli!!
 
hivi kwenye huu mgogoro meza ya mazungumzo haina nafasi!??

YESU NI MWOKOZI
Cha ajabu hata wanaopigana hawazungumzii hilo, labda kila upande unaamini utashinda kijeshi.

Wengine badala ya kujaribu kushinikiza mazungumzo wanapeleka silaha zaidi na kuongeza vikwazo.

Dunia imejaa vichaa wengi wanaojiita 'civilized'.
 
Mshindi anajulikana nisuala la muda tu ndio linalongojelewa

Civilizide hapa kuna waongelea Western hawa bado sana kupewa hio heshma

Watu wamagharibi wanatakiwa waekwe chini wapewe darasa kuhusu ustaarabu na kustaarabika

Jamaa hawajastaarabika hata theluthi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa nao ni wapuuzi tu, hvyo vikwazo asilimia kubwa vinawaumiza wenyewe.
Wananchi wanalalamika kumekuwa na mfumuko mkubwa sana wa bei ya mafuta na pia upatikanaji wake wakusua sua. Hawa ulaya wanafata mkumbo wa mmarekani ambaye yeye ana ghala kubwa sana la mafuta lakuweza kuisukuma nchi yake kwa miaka kadhaa hapo mbele unless these morons wafata mikumbo. Kama wao ni wanaume waende kupeleka jeshi lao likamalize operesheni ya mrusi pale Ukreini.

Anashindwa kuiga mgano wa Ufaransa ambaye amekaa kimya na mataifa mengineyo ya EU,kwanza kanchi kenyewe kana watu about 75M sijui hata wakiji disconnect from Russia bado kuna nchi nyingi za Asia na Marekani ya Kusini wako tayari kufanya biashara na mrusi plus Africa
 
Back
Top Bottom