Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
dini ya haki hiyo! ๐lazima tukate kichwa unaritadi unaenda wapi hunafaida humu duniani, kama munapokuwa vitani ukiasi unauwa je mbele ya dini ya ALLAH (SW)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dini ya haki hiyo! ๐lazima tukate kichwa unaritadi unaenda wapi hunafaida humu duniani, kama munapokuwa vitani ukiasi unauwa je mbele ya dini ya ALLAH (SW)
ndio, kwanza ndani ya Uislam hakuna sababu yeyote ambayo itakufanya uritad. Otherwise itakuwa ni kiburi na hapo ndipo sheria inapochukua mkondo wake.dini ya haki hiyo! ๐
na ikitokea je sheikh anawaingilia watoto wa madrasa kinyume na maumbile, tena humo humo msikitini, adhabu yake ni hiyo hiyo au hapo anafikiriwa kidogo? ๐Imagine ajitikeze shekh ana fungisha ndoa ya machoko kichwa chake kinaondoka kabisa na hakuna kuchekeana hio inakomesha ujinga kwnye imani hivyo mom najivunia uislam tuko imara na imani yetu haichezewi
adhabu ni zaidi kwa anayefaham, hivi unafahm kwanini ukiritadi unaktwa kichwa lakini mkristo haruhusiwi kufanywa chochote zaidi ya kulinganiwa?na ikitokea je sheikh anawaingilia watoto wa madrasa kinyume na maumbile, tena humo humo msikitini, adhabu yake ni hiyo hiyo au hapo anafikiriwa kidogo? ๐
kuhusu sheikh anayewaingilia watoto wa madrasa kinyume na maumbile, tena humo humo msikitini, adhabu yake ni hiyo hiyo au hapo anafikiriwa kidogo? ๐adhabu ni zaidi kwa anayefaham, hivi unafahm kwanini ukiritadi unaktwa kichwa lakini mkristo haruhusiwi kufanywa chochote zaidi ya kulinganiwa?
jibu ni kuwa wewe tayari umeshafahamu haki unaleta kiburi.
Una uhakika gan kuwa uislam n dini ya haki?Uislamu ndo dini ya haki
Usafi wa Mwili
Usafi wa Roho
Usafi wa matendo
Ukibanwa na njaa ya kufa na mbele yako kuna nyama ya kitimoto ๐ unaruhusiwa kula finyango 2/3/4/5 ili usife na njaa, maana Muislamu kufa na njaa ni dhambi kubwa, kula kitimoto huku una njaa ya kufa inswihi sheikh wanguSasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi.
MUNGU fundi ukiambiwa yeye ndie amechonga hao wote hauamini
Wakina nuhu, Musa na manabii wengineo hawajawai kumuabudu huyo mungu wa kiarabu ''Allah" kwa maana hao manabii+mitume walikuwa ktk bloodline ya kiyahudi ambapo waliamuabudu na wanamuabudu Mungu wao ambaye ni Yehovah/jehovah sio "Allah'' na hivyo basi mitume hao hawahusiani kabisa na uislam bali uyahudi, na hata ukristo hawahusiani nao,Swa
SWali zuri, nilijua utauliza hivi, ndio maana ukisoma vizuri, nimesema muhammad ni mtume wa umma huu..
Hivyo kipindi cha nuhu watu walikuwa wanashahidilia, kwenye jina la muhhamad anakaa nuhu, sababu ndio mtume wa umma ule, wakati wa ibrahim hivyo hivyo, ni kushuhudulia kuwa mola ndio muabidiwa wa haki na ibrahim/nuhu/musa etc ndio mjumbe wa umah husika.
Je Yehova ni Yes?Wakina nuhu, Musa na manabii wengineo hawajawai kumuabudu huyo mungu wa kiarabu ''Allah" kwa maana hao manabii+mitume walikuwa ktk bloodline ya kiyahudi ambapo waliamuabudu na wanamuabudu Mungu wao ambaye ni Yehovah/jehovah sio "Allah'' na hivyo basi mitume hao hawahusiani kabisa na uislam bali uyahudi, na hata ukristo hawahusiani nao,
Ninyi miaka ya juzi tu kupitia wakoloni wa kirumi walmdanganya muhamad kwa kumpa nakala za wayahudi na kuamua kuunda huo uilslam wakiforce ijulikane Mungu huyo wa kiarabu alikuwa akiabudiwa na mitume wa kizayuni/kiyahud kumbe si kweli, tafuten historia popote pale hakuna ushahidi wa mitume nje ya muhamad walimuamubud Allah, bali Miungu ya kiyahudi ambayo hata leo wanaiabudu.
Ifike wakati mkubali tu ukweli kwamba uislam haukuwai kuwepo kabla ya muhamad, hao wakina musa sijui kina ishmael hawakuwai kuhusika na uislam kwanza ishmael hana uhusiano na uislam maana asili yake ni chotara la kiyahudi+muafrika pure kutoka misri(kama ijulikanavyo kimaandiko misri ni mtoto wa Ham ambaye ni baba wa watu weusi), hivyo hata ishmael ambaye alizaliwa kutoka kwa kijakaz wa misri ya watu weusi, mtoto huyo alitoka chotara yaan Afro-asiatic ambae si muarabu bali chotara, [emoji23][emoji23] na chotara huyu yaan ishimael hajawai kujihusisha na uundwaji wa imani yoyote zaid ya uongo uongo wa Qur'an+stories za waarabu kutaka kuudanganya ulimwengu kuhusu dini yao .
Amkeni jamani mambo ya kidini ni upuuzi mtupu, MUUMBA wa kweli hana haja na dini na wala haitaji dini ili umjue, na wala hana haja na ibada zako kwake maana yeye ni mkamilifu, izo ibada zako zinamsaidia nini?, mnaabudu mashetan ya wazungu+waarabu ambayo mnayaita Mungu, kumbe behind the door ni mashetan..
Mwehu wewe wewe si ushanikimbia au umesahauAaaaah!kule umelala mbele baada ya kushindwa kujibu maswali, haya tumia hata Kuran ukishindwa tumia Kolowani ili ulete majibu
Hicho ndio unachoweza kujibu!HAKUKUWA na uislamu kabla Mo kuwepo,kwasababu hamna ushahidi wowote kwenye Kolowani basi ukipenda Quran maana Mo aliwafunga akili kwenye uarabu, wala hata mkijibana kwenye kutumia vitabu vya Dini nyingine Hakuna.Mwehu wewe wewe si ushanikimbia au umesahau
Kwa hiyo.Hicho ndio unachoweza kujibu!HAKUKUWA na uislamu kabla Mo kuwepo,kwasababu hamna ushahidi wowote kwenye Kolowani basi ukipenda Quran maana Mo aliwafunga akili kwenye uarabu, wala hata mkijibana kwenye kutumia vitabu vya Dini nyingine Hakuna.
Muhammad kaoa mtoto wa miaka 6 amuigeUislam umesimama katika nguzo tano
1.Shahada
Hapo ushuhudilie kuwa mola ni mmoja tu, na muhammad ndio mjumbe wake kwa ummah huu. Sio kwa maneno tu na matendo pia, ufanye aliyotaka ufanye na uache yale aliyokataza. Humu ndio kwenye kila kitu.
Ukiitazama namba moja ndio kila kitu, matendo ya kufanya,jinsi ya kula,kulala,kuoa, kuishi na watu,kusalimiana, kuishi na majirani, mfumo mzima wa maisha unapatikana hapo, kila chinu(kujisemea watu wa kusini) inakuwa katika namba moja.
Ni upagani . Mpinga Kristo kiti cha Rehema cha shetaniAsalam alaykum!
Nilisilimu lakini baadhi ya members humu wakawa wanapinga na kusema mimi sio muislam bali ni mnafiq.
Sasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi.
Na ikiwezekana wanipe sifa ambazo mtu anapaswa kuwa nazo ili aitwe muislam.
Au muislam ni mtu mwenye sifa zipi.
Ahsante.