Uislam unazidi kwenda kuitawala Dunia, Binti wa Kisomali achaguliwa Bunge la Uingereza

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
9,504
Reaction score
20,293
FB_IMG_1791877804516.jpg
FB_IMG_1791877823074.jpg

Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Somalia katika historia ya Uingereza.

Abdi-Wali, ambaye aliwasili Uingereza akiwa mtoto mkimbizi kutoka Somalia, alisema ushindi wake ulikuwa pigo kwa "wale wanaotaka kutugawanya".

"Tuna jukumu la kulinda kile tulichokijenga na kukirithisha kwa wengine," alisema baada ya kushinda uchaguzi mdogo katika jimbo la Holborn na St Pancras, katikati mwa London, siku ya Ijumaa.
 
View attachment 3689737View attachment 3689738

Kutawala dunia? Fafanua kidogo mkuu
 
Uislam gani, wakati kaenda kuapa na kumwabudu MFALME, ambaye dimi yake ni ANGLICAN na anatambua MASHOGA.
 
Safari ni hatua.... Njia nyepesi ya kuondoa huo ushoga inaanza kwa bungeni kwanza
 
Huu mkakati unakwenda kama ilivyo pangwa na wana mikakati wenyewe.....

Hii ninayoiona ulaya ikiendelea kuwa hivi ukristo na wazungu wanakwenda kufutika ulaya....

Waislamu hawatumii tena mapanga na majambia bali wanatumia mifumo hiyo hiyo waliyoikuta na kujiweka kwenye majukwaa ya kimaamuzi.....na mwisho wakiwa wengi kwenye maamuzi wanasimika mfumo wao!!!!

Wazungu na bara zima la ulaya ni kama walishachelewa labda kutokee civil war......

Baadhi ya wazungu wamepumbazwa na kujifanya watetezi wa haki za kibinadamu huku wakitumika kusimamisha ajenda ambayo hata wao itawaangamiza!!!

Ninachopenda ni kuwa hao jamaa wanaicheza hii game kiakili sana huku wenyeji wakijikita kwenye ushoga na usagaji na wageni wakizaliana ili kupata wapiga kura wengi baadae......

Baadhi ya mataifa ya ulaya birth rate zimeanza kuwa out number wenyeji kwenye baadhi ya maeneo na majimbo!!!

Na kuna baadhi ya waislamu wameanza kutamka wazi mpango mkakati na wengine mpaka kudai Sharia baadhi ya maeneo.....

Hayo maneno hayapo kwa bahati mbaya..... wanajua kuwa nyuma ya maneno hayo kuna mpango mkubwa........
 
Ahakikishe anajitenga na sera za kuipinga Israel! Kule US Ilhan Omar anapitia kwenye misukosuko kutokana na kutetea Wapalestina.
 
Huu mkakati unakwenda kama ilivyo pangwa na wana mikakati wenyewe.....

Hii ninayoiona ulaya ikiendelea kuwa hivi ukristo na wazungu wanakwenda kufutika ulaya....

Waislamu hawatumii tena mapanga na majambia bali wanatumia mifumo hiyo hiyo waliyoikuta na kujiweka kwenye majukwaa ya kimaamuzi.....na mwisho wakiwa wengi kwenye maamuzi wanasimika mfumo wao!!!!

Wazungu na bara zima la ulaya ni kama walishachelewa labda kutokee civil war......

Baadhi ya wazungu wamepumbazwa na kujifanya watetezi wa haki za kibinadamu huku wakitumika kusimamisha ajenda ambayo hata wao itawaangamiza!!!

Ninachopenda ni kuwa hao jamaa wanaicheza hii game kiakili sana huku wenyeji wakijikita kwenye ushoga na usagaji na wageni wakizaliana ili kupata wapiga kura wengi baadae......

Baadhi ya mataifa ya ulaya birth rate zimeanza kuwa out number wenyeji kwenye baadhi ya maeneo na majimbo!!!

Na kuna baadhi ya waislamu wameanza kutamka wazi mpango mkakati na wengine mpaka kudai Sharia baadhi ya maeneo.....

Hayo maneno hayapo kwa bahati mbaya..... wanajua kuwa nyuma ya maneno hayo kuna mpango mkubwa........
😂😂😂
Lakini Uislam ndio njia ya kweli, angalia tu mfumo wa familia kwa nchi zinazofuata ulibeatali wa kimagharibi ni kuwa umefutika, sehemu nyingi ni ma single mother sasa ndio imekuwa kama default,
Ushoga nao inakuwa promoted kwa nguvu sana, usagaji, Kuna wanaume nao wanaojitangaza kuwa ni ma trans gender wanakuwa eti wanawake na wanapewa haki zote za wanawake, ukiwaita wanaume wanakuwa shtaki
Huku ndio umagharibi unatupeleka
 
Umtu kulinda identity ni udhaifu wa asili usiochelewa kuleta udhalimu

Labda awe anaongea kitu ambacho jamii imemis kwa muda

Ila kudhani kula la maana anafanya ni upumbavu
 
Jee ni wakristo wangapi wapo kwenye Serikali kwenye nchi zinazoongozwa kiislamu?
 
Back
Top Bottom