Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Kutawala dunia? Fafanua kidogo mkuuView attachment 3689737View attachment 3689738
Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Somalia katika historia ya Uingereza.
Abdi-Wali, ambaye aliwasili Uingereza akiwa mtoto mkimbizi kutoka Somalia, alisema ushindi wake ulikuwa pigo kwa "wale wanaotaka kutugawanya".
"Tuna jukumu la kulinda kile tulichokijenga na kukirithisha kwa wengine," alisema baada ya kushinda uchaguzi mdogo katika jimbo la Holborn na St Pancras, katikati mwa London, siku ya Ijumaa.
Uislam gani, wakati kaenda kuapa na kumwabudu MFALME, ambaye dimi yake ni ANGLICAN na anatambua MASHOGA.View attachment 3689737View attachment 3689738
Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Somalia katika historia ya Uingereza.
Abdi-Wali, ambaye aliwasili Uingereza akiwa mtoto mkimbizi kutoka Somalia, alisema ushindi wake ulikuwa pigo kwa "wale wanaotaka kutugawanya".
"Tuna jukumu la kulinda kile tulichokijenga na kukirithisha kwa wengine," alisema baada ya kushinda uchaguzi mdogo katika jimbo la Holborn na St Pancras, katikati mwa London, siku ya Ijumaa.
Hawahawa kina Lukosi wanaowaza mandugu used au wengine πvipi kuhusu wabeba box wetu? mbona hatusikii wakichaguliwa hata ujumbe wa nyumba kumi? nini tatizo?
Safari ni hatua.... Njia nyepesi ya kuondoa huo ushoga inaanza kwa bungeni kwanzaUislam gani, wakati kaenda kuapa na kumwabudu MFALME, ambaye dimi yake ni ANGLICAN na anatambua MASHOGA.
Kama hujaelewa chukua na hiiKutawala dunia? Fafanua kidogo mkuu
Kama hujaelewa chukua na hii
View attachment 3689752
Sasa watu watakuwa majority kabla ya kuanza minority....au hujui kuwa hata mbuyu unaanza kama mchicha?Acha kujipa matumaini hewa ndugu mleta uzi ,nenda kagoogle maana ya haya maneno "MAJORITY" and "Minority" ππ
Hawamuwezi, japo wanajaribuAhakikishe anajitenga na sera za kuipinga Israel! Kule US Ilhan Omar anapitia kwenye misukosuko kutokana na kutetea Wapalestina.
Si ndiyo maana nimekwambia uache matumaini hewa πSasa watu watakuwa majority kabla ya kuanza minority....au hujui kuwa hata mbuyu unaanza kama mchicha?
πππHuu mkakati unakwenda kama ilivyo pangwa na wana mikakati wenyewe.....
Hii ninayoiona ulaya ikiendelea kuwa hivi ukristo na wazungu wanakwenda kufutika ulaya....
Waislamu hawatumii tena mapanga na majambia bali wanatumia mifumo hiyo hiyo waliyoikuta na kujiweka kwenye majukwaa ya kimaamuzi.....na mwisho wakiwa wengi kwenye maamuzi wanasimika mfumo wao!!!!
Wazungu na bara zima la ulaya ni kama walishachelewa labda kutokee civil war......
Baadhi ya wazungu wamepumbazwa na kujifanya watetezi wa haki za kibinadamu huku wakitumika kusimamisha ajenda ambayo hata wao itawaangamiza!!!
Ninachopenda ni kuwa hao jamaa wanaicheza hii game kiakili sana huku wenyeji wakijikita kwenye ushoga na usagaji na wageni wakizaliana ili kupata wapiga kura wengi baadae......
Baadhi ya mataifa ya ulaya birth rate zimeanza kuwa out number wenyeji kwenye baadhi ya maeneo na majimbo!!!
Na kuna baadhi ya waislamu wameanza kutamka wazi mpango mkakati na wengine mpaka kudai Sharia baadhi ya maeneo.....
Hayo maneno hayapo kwa bahati mbaya..... wanajua kuwa nyuma ya maneno hayo kuna mpango mkubwa........