Uislam wa Afrika unanishangaza sana

Uislam wa Afrika unanishangaza sana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Ni ngumu snaa kukuta wakristo baada ya mwezi wa kwarezma Siku ya pasaka ukute Guest house zimejaa au wana mavurugu yaani huwa wanaishi kwa kutokuwa na maigizo maisha yao huwa ni miezi 12 mtu haishi kinafki yaani akiamua kuwa mwema ni siku zote akiamua kuwa mshenzi basi hana mda wa kuigiza

Waarabu ambao ndio wenye hii dini hasa huko saudi Arabia huwa wana imani kuwa Ramadhan ni miezi yote 12 yaani huwa hata baada ya mfungo hata kama hawafungi basi huendeleza maadili wakiamini kuwa kifo kikija mda wowote ukiwa nje na Ramadhan na ulikuwa zambini basi ni mitoni

Sasa Africa hata hapa Tz utakuta huu mwezi pekee ndio waislam wanatulia, wakuvaa nguo fupi wanajistiri, ila ikifika idi tu Gesti zote zimejaa wanarudi kule kule uasherati miezi 11 alafu mwezi mmoja ndio wanatulia, kwa huu mwendo pepo mtaionq?
 
Dini ni biashara kama biashara nyingine

Dini harakati, mishemishe za mwanadamu kutafuta pesa kwa kumsingizia Mungu

Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu aliyepotea

Dini ni ngumu sana maana umewekwa vipengere ili umfaidishe Fulani
 
Huwa sijui mnawachukuliaje waarabu , kama tu kulivyo Africa ndio na wao wapo hivyo, mateja , makahaba walevi na nk wapo tu tu kama walivyo sehemu nyinginezo.
Uarabuni hwajacharuka kama huku hata Rate ya magonjwa ya zinaa ni ya kumulika kwa tochi
 
Rum 3:10-12

kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Hakuna mwenye haki hata mmoja. Hakuna afahamuye; Hakuna amtafutaye Mungu. Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema, la! Hata mmoja.
 
Dini ni biashara kama biashara nyingine

Dini harakati, mishemishe za mwanadamu kutafuta pesa kwa kumsingizia Mungu

Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu aliyepotea

Dini ni ngumu sana maana umewekwa vipengere ili umfaidishe Fulani
Oh
 
Uarabuni hwajacharuka kama huku hata Rate ya magonjwa ya zinaa ni ya kumulika kwa tochi
Ogopa watu wanajikaza kwa kutofanya kitu kwa sababu ya sheria kali , hao jamaa wana kula miraha na heroin sijawahi kuona.
 
kwa sasa yafuatayo yamepungua au hayapo

Vibaka
Wezi
Mashoga
Machangudoa
Wala Nguruwe
 
Waarabu ambao ndio wenye hii dini hasa huko saudi Arabia huwa wana imani kuwa Ramadhan ni miezi yote 12 yaani huwa hata baada ya mfungo hata kama hawafungi basi huendeleza maadili wakiamini kuwa kifo kikija mda wowote ukiwa nje na Ramadhan na ulikuwa zambini basi ni mitoni

Sasa Africa hata hapa Tz utakuta huu mwezi pekee ndio waislam wanatulia, wakuvaa nguo fupi wanajistiri, ila ikifika idi tu Gesti zote zimejaa wanarudi kule kule uasherati miezi 11 alafu mwezi mmoja ndio wanatulia, kwa huu mwendo pepo mtaionq?
Dini zote ni scam
 
Ogopa watu wanajikaza kwa kutofanya kitu kwa sababu ya sheria kali , hao jamaa wana kula miraha na heroin sijawahi kuona.
Wakisafiri tu nje ya Saudia aisee utashangaa sana huyu Hizi Pombe kajifunzia wapi
 
Uarabuni hwajacharuka kama huku hata Rate ya magonjwa ya zinaa ni ya kumulika kwa tochi
Kwa sababu wana sheria ngumu sana
Ukizini kama una mke/mme basi upanga unakuhusu
Na kama huna mke/mme basi utakula mijeledi ya kutosha na kifungo juu
Binadamu popote alipo duniani, kuna wabaya na wazuri

Na kama leo sisi tungesema kiongozi akiiba mali ya umma, basi anyongwe hadharani basi natumaini ndoto za kuwa Kigoma kama Dubai zingefika

Kuhusu mfungo watu wengine wanaogopa mwezi wa toba kwa sababu ni mwezi wa kujisafisha madhambi.

Ila wengi huwa wanarudi tena kwenye yaleyale maovu ila na wengi hunyooka na kuwa waumini sana na kumcha Mungu sana

Maisha ni jinsi unavyoyaona wewe
 
Ni ngumu snaa kukuta wakristo baada ya mwezi wa kwarezma Siku ya pasaka ukute Guest house zimejaa au wana mavurugu yaani huwa wanaishi kwa kutokuwa na maigizo maisha yao huwa ni miezi 12 mtu haishi kinafki yaani akiamua kuwa mwema ni siku zote akiamua kuwa mshenzi basi hana mda wa kuigiza

Waarabu ambao ndio wenye hii dini hasa huko saudi Arabia huwa wana imani kuwa Ramadhan ni miezi yote 12 yaani huwa hata baada ya mfungo hata kama hawafungi basi huendeleza maadili wakiamini kuwa kifo kikija mda wowote ukiwa nje na Ramadhan na ulikuwa zambini basi ni mitoni

Sasa Africa hata hapa Tz utakuta huu mwezi pekee ndio waislam wanatulia, wakuvaa nguo fupi wanajistiri, ila ikifika idi tu Gesti zote zimejaa wanarudi kule kule uasherati miezi 11 alafu mwezi mmoja ndio wanatulia, kwa huu mwendo pepo mtaionq?
Lengo la Ramadhan ni hilo, ni semina ambayo itaongoza maisha ya nwaka mzima

Hata hao waarabu wahuni wapo

Hata Afrika Kuna watu wapo seriousl mwaka mzima
 
Dini ni biashara kama biashara nyingine

Dini harakati, mishemishe za mwanadamu kutafuta pesa kwa kumsingizia Mungu

Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu aliyepotea

Dini ni ngumu sana maana umewekwa vipengere ili umfaidishe Fulani
Hakika, dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu. Wengi wetu tunapenda sana dini kuliko kumpenda Mungu.
"Mkinipenda mtazishika amri zangu." Yohana 14:15
 
Back
Top Bottom