Wokovu unasema hivi
Kwa maana jinsi hii Mungu alimpenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili kila amuaminiye asipotee Bali awe na uzima wa milele
Even hata uwe Gaidi ,dakika ya mwisho ukaamini Yesu ni bwana na mwokozi wa MAISHA yako na anasamehe dhambi zako unatoka mautini na kuingia uzimani kupitia Damu yake iliyomwagika pale msalabani,ukakata roho basi tutakukuta mbinguni
Mfano mzuri yule JAMBAZI pale msalabani
Yule hakuwahi kufata hizo taratibu zenu za dini, hakubatizwa, n.k
Alipomwamini Yesu tu ,akaokolewa
Njoo dini sasa ,imejaa vitisho, taratibu kibao wanataka uzifate ,ukienda against unaitwa muasi ,n.k