Uislam wa Afrika unanishangaza sana

Uislam wa Afrika unanishangaza sana

Africa wahuni ndio wamezidi waarabu wahuni wangetuzidi Rate ya magonjwa ya kuambukiza ingekuwa kubwa elewa hilo
Unaamini kuwa wagonjwa walioambukizwa wengi ni Waislam? Nikuulize tena, angalia sehemu zenye maambukizi makubwa Tanzania, je ni sehemu zinazoishi Waislam as majority? Ukipata jibu angalia post yako halafu jione wewe ni kenge tu.
Ninachokiona kwako ni chuki yako kwa Waislam , sio kingine.
 
Ni ngumu snaa kukuta wakristo baada ya mwezi wa kwarezma Siku ya pasaka ukute Guest house zimejaa au wana mavurugu yaani huwa wanaishi kwa kutokuwa na maigizo maisha yao huwa ni miezi 12 mtu haishi kinafki yaani akiamua kuwa mwema ni siku zote akiamua kuwa mshenzi basi hana mda wa kuigiza


Waarabu ambao ndio wenye hii dini hasa huko saudi Arabia huwa wana imani kuwa Ramadhan ni miezi yote 12 yaani huwa hata baada ya mfungo hata kama hawafungi basi huendeleza maadili wakiamini kuwa kifo kikija mda wowote ukiwa nje na Ramadhan na ulikuwa zambini basi ni mitoni

Sasa Africa hata hapa Tz utakuta huu mwezi pekee ndio waislam wanatulia, wakuvaa nguo fupi wanajistiri, ila ikifika idi tu Gesti zote zimejaa wanarudi kule kule uasherati miezi 11 alafu mwezi mmoja ndio wanatulia, kwa huu mwendo pepo mtaionq?
Nenda Bahrain ndy utajuwa kwmba waislam wa Africa wote peponi.

90% ya magari utakayoyakuta Bahrain hotel ni yenye namba za Saudi Arabia,Jordan,Kuwait,..
Wakisubiri either kuvunja jungu au kula Eid na warembo ambao sio wake zao

Nenda Saudi Arabia uone mwarabu anafunga na haswali na ikifika jioni anavuta shisha kama kawaida.

Kwa kifupi muislamu wa Africa anamugopa MUNGU kuliko huko Saudi Arabia.
 
Hata vibaka, majambazi, wakora, machangudoa, makahaba hutulia sana mwezi huu. Machangudo na makahaba hawatoi uroda wanakuambia ni mwezi mtukufu hawafanyi dhambi. Hichi kipindi ni ngumu sana kutongoza demu wa imani hii hutopewa utasubirishwa mpaka idi ipite. Kuna single mother mmoja ana watoto wanne kila mtoto ana baba yake eti naye anajifanya ni mtukufu mwezi huu huku mi najua ni cha wote, nimemtokea kanitolea nje eti amefunga hafanyi dhambi
 
Back
Top Bottom