Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Unapajua uarabuni au unapasikia ulichoandika hapa ni uongoHuwa sijui mnawachukuliaje waarabu , kama tu kulivyo Africa ndio na wao wapo hivyo, mateja , makahaba walevi na nk wapo tu tu kama walivyo sehemu nyinginezo.
Sahivi kuna punguzo la bei kwa baadhi ya gestiNa bora hiyo mirsha kuliko uzinzi bongo ikifika skukuu wote Gesti
Sio napajua pengine hata nina kina saba na huko jomba.Unapajua uarabuni au unapasikia ulichoandika hapa ni uongo
Umefunga lakini.? Au unasumbua watu tu.Ni ngumu snaa kukuta wakristo baada ya mwezi wa kwarezma Siku ya pasaka ukute Guest house zimejaa au wana mavurugu yaani huwa wanaishi kwa kutokuwa na maigizo maisha yao huwa ni miezi 12 mtu haishi kinafki yaani akiamua kuwa mwema ni siku zote akiamua kuwa mshenzi basi hana mda wa kuigiza
Waarabu ambao ndio wenye hii dini hasa huko saudi Arabia huwa wana imani kuwa Ramadhan ni miezi yote 12 yaani huwa hata baada ya mfungo hata kama hawafungi basi huendeleza maadili wakiamini kuwa kifo kikija mda wowote ukiwa nje na Ramadhan na ulikuwa zambini basi ni mitoni
Sasa Africa hata hapa Tz utakuta huu mwezi pekee ndio waislam wanatulia, wakuvaa nguo fupi wanajistiri, ila ikifika idi tu Gesti zote zimejaa wanarudi kule kule uasherati miezi 11 alafu mwezi mmoja ndio wanatulia, kwa huu mwendo pepo mtaionq?
Nchi za gulf wageni tu ndo wanarusiwa kunywa pombe na kwa kiwango maaluumu na maeneo yaliyotengwa wenyeji hawarusiwiNa hawalewi kizembe wale jamaa sijui kuna namna wapo tofauti na watu wengine kwenye kulewa?
Acha uongo mara useme mchaga leo mara mwarabu ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu na kuna warabu wengi tanzania hawajahi fika nchi za kiarabuSio napajua pengine hata nina kina saba na huko jomba.
Wokovu unasema hiviHakika, dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu. Wengi wetu tunapenda sana dini kuliko kumpenda Mungu.
"Mkinipenda mtazishika amri zangu." Yohana 14:15
Yakobo 1:27 "Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa."Wokovu unasema hivi
Kwa maana jinsi hii Mungu alimpenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili kila amuaminiye asipotee Bali awe na uzima wa milele
Even hata uwe Gaidi ,dakika ya mwisho ukaamini Yesu ni bwana na mwokozi wa MAISHA yako na anasamehe dhambi zako unatoka mautini na kuingia uzimani kupitia Damu yake iliyomwagika pale msalabani,ukakata roho basi tutakukuta mbinguni
Mfano mzuri yule JAMBAZI pale msalabani
Yule hakuwahi kufata hizo taratibu zenu za dini, hakubatizwa, n.k
Alipomwamini Yesu tu ,akaokolewa
Njoo dini sasa ,imejaa vitisho, taratibu kibao wanataka uzifate ,ukienda against unaitwa muasi ,n.k
Ndio mimi ni mchaga , wapi nimesema ni mwarabu ? Kwamba hizi nchi za uarabuni ni nchi zipo sayari gani mpka mtu ashindwe kufika?Acha uongo mara useme mchaga leo mara mwarabu ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu na kuna warabu wengi tanzania hawajahi fika nchi za kiarabu
Neno lililotumika katika Yakobo 1:27 kwa Kigiriki si "dini" bali ni "Θρησκεία" (Thrēskeía), ambalo linaweza kumaanisha ibada ya kidini, uchaji Mungu, au namna ya kuabudu.Yakobo 1:27 "Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa."
🤣🤣🤣 kwamba waarabu hawanyi pombe na kuvuta shisha na heroin, sijakataa kuwa sheria ni kali na zinawabana.Nchi za gulf wageni tu ndo wanarusiwa kunywa pombe na kwa kiwango maaluumu na maeneo yaliyotengwa wenyeji hawarusiwi
Ebu mwambie huyo😅😅😅wale kanzu ni mawazo yao wala hawaendi msikiti wengi wao.Huwa sijui mnawachukuliaje waarabu , kama tu kulivyo Africa ndio na wao wapo hivyo, mateja , makahaba walevi na nk wapo tu tu kama walivyo sehemu nyinginezo.
Japo uislamu ni tofauti na uarabuni ila wakubali tu waarabu wa hovyo wamejaa tele.Ebu mwambie huyo😅😅😅wale kanzu ni mawazo yao wala hawaendi msikiti wengi wao.
Magonjwa ya kuambukuzwa sio uhuni ni elimu tu ,utekelezaji wa mipango.Africa wahuni ndio wamezidi waarabu wahuni wangetuzidi Rate ya magonjwa ya kuambukiza ingekuwa kubwa elewa hilo
Mji kama riyadh ni hatari sana .Japo uislamu ni tofauti na uarabuni ila wakubali tu waarabu wa hovyo wamejaa tele.
Ni ngumu snaa kukuta wakristo baada ya mwezi wa kwarezma Siku ya pasaka ukute Guest house zimejaa au wana mavurugu yaani huwa wanaishi kwa kutokuwa na maigizo maisha yao huwa ni miezi 12 mtu haishi kinafki yaani akiamua kuwa mwema ni siku zote akiamua kuwa mshenzi basi hana mda wa kuigiza
Waarabu ambao ndio wenye hii dini hasa huko saudi Arabia huwa wana imani kuwa Ramadhan ni miezi yote 12 yaani huwa hata baada ya mfungo hata kama hawafungi basi huendeleza maadili wakiamini kuwa kifo kikija mda wowote ukiwa nje na Ramadhan na ulikuwa zambini basi ni mitoni
Sasa Africa hata hapa Tz utakuta huu mwezi pekee ndio waislam wanatulia, wakuvaa nguo fupi wanajistiri, ila ikifika idi tu Gesti zote zimejaa wanarudi kule kule uasherati miezi 11 alafu mwezi mmoja ndio wanatulia, kwa huu mwendo pepo mtaionq?