Uislam wa Afrika unanishangaza sana

Africa wahuni ndio wamezidi waarabu wahuni wangetuzidi Rate ya magonjwa ya kuambukiza ingekuwa kubwa elewa hilo
Unaamini kuwa wagonjwa walioambukizwa wengi ni Waislam? Nikuulize tena, angalia sehemu zenye maambukizi makubwa Tanzania, je ni sehemu zinazoishi Waislam as majority? Ukipata jibu angalia post yako halafu jione wewe ni kenge tu.
Ninachokiona kwako ni chuki yako kwa Waislam , sio kingine.
 
Nenda Bahrain ndy utajuwa kwmba waislam wa Africa wote peponi.

90% ya magari utakayoyakuta Bahrain hotel ni yenye namba za Saudi Arabia,Jordan,Kuwait,..
Wakisubiri either kuvunja jungu au kula Eid na warembo ambao sio wake zao

Nenda Saudi Arabia uone mwarabu anafunga na haswali na ikifika jioni anavuta shisha kama kawaida.

Kwa kifupi muislamu wa Africa anamugopa MUNGU kuliko huko Saudi Arabia.
 
Hata vibaka, majambazi, wakora, machangudoa, makahaba hutulia sana mwezi huu. Machangudo na makahaba hawatoi uroda wanakuambia ni mwezi mtukufu hawafanyi dhambi. Hichi kipindi ni ngumu sana kutongoza demu wa imani hii hutopewa utasubirishwa mpaka idi ipite. Kuna single mother mmoja ana watoto wanne kila mtoto ana baba yake eti naye anajifanya ni mtukufu mwezi huu huku mi najua ni cha wote, nimemtokea kanitolea nje eti amefunga hafanyi dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…