Uislamu na kabumbu, je njia hipi ni sawa?
Sasa kukaa uchi, matangazo ya pombe, betting na mpira kuna uhusiano gani... hapo haramu sio mpira ni vitu husika kama kukaa uchi, pombe, betting... Ambavyo sio kila mtu anayecheza mpira au kutizama mpira anavifanya... Kukaa uchi, betting na pombe ni hulka ya mtu tu, wapo watu wanaopenda mpira na si wafuasi wa hivyo vitu... Je ni vyema kuendelea kusema mpira ni haramu
Sasa ndio misingi ya ligi zote ndi maana ni haramu😅😅.

Sheria ya FIFA ni kuvaa vibukta na hapo ndio haramu mpira kama mpira wenyewe sio haramu .
 
Google utawaona waarabu Kanisani.
Ni nchi chache uarabuni hazina makanisa.
Mpira kombe la dunia mpira wa miguu ni la kishetani.

Biblia inamtaja shetani kama joka

Nembo ya kombe la Dunia ni chatu aliyejipinda kichwa kikiwa juu

Na kombe lenyewe la mpira kombe la dunia ni chatu aliyejipinda kichwa kikiwa juu

Timu zinazocheza kombe la dunia zinashindania kuchukua kombe lenye sanamu ya joka kuu shetani wachukue sanamu ya joka shetani kupeleka kwao.

Angalia vizuri mwenyewe kuhakikisha ninachosema nembo ya kombe la dunia ikitulia au kwenye TV linavyonyeshwa timu zikicheza na kombe lenyewe linavyoonekana ni ushetani mtupu

World football Cup ni kugombea kichwa cha shetani
Mpira unapromote ushoga
Ebu mwambie😅
 
Kwanini kamari ni haramu?

Kamari ni miongoni mwa kazi chafu za Shaytwaan na yampasa Muislamu kujiepusha nayo. Hii ni kwa mujibu wa Qawl ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa):

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٩٠﴾

Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli; ni najisi na chukizo kutokana na kitendo cha shaytwaan; basi jiepusheni navyo, mpate kufaulu. [Al-Maaidah: 90].
 
Attachments

  • Screenshot_20230922-143028.png
    Screenshot_20230922-143028.png
    309.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230922-143051.png
    Screenshot_20230922-143051.png
    311 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230922-143000.png
    Screenshot_20230922-143000.png
    349.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230922-142931.png
    Screenshot_20230922-142931.png
    385.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230922-142805.png
    Screenshot_20230922-142805.png
    311.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230922-142841.png
    Screenshot_20230922-142841.png
    445.6 KB · Views: 4
Lakini mnalifuata like liaidol Leno Moja jeusi mnalolisujudia
Naona upo nje ya mada 😅😅we tapeli ,mlevi ,katili mzee wa migombani kaa pembeni ...Hauna unachojua zaidi ya kuishi kweny migomba kama tumbiri.

Sibishana na wenye uwezo mdogo.!!
 
Wee mwenyewe jeusi tii unashadadia mila za kiarabu
 
Iyo rangi ya meno ni chata identity. Tutabaki kuwa kabila pekee afrka mashariki na kati Wayne IQ kubwa, maendeleo na uelewa ukiondoa wakikuyu na Tutsi.

Mtajaribu wee kutushusha mtashindwa.

Tafiti za DNA zimedhihirisha na kuthibitisha.
😅😅😅Tapeli na meno kama unakula mavi ,IQ ya nyoko ?

Hamna jipya sasa kila mtu anajielewa sio kuchomekana ,wageni wameshikq kila kona kweny biashara nyie mnabaki kama wachuuzi ....Vyeti feki mlilambwa sana mpaka mkamchukia jiwe.
 
Mchezo wa kabumbu, ujulikanao kama Mpira wa miguu, kwa kimombo Soccer au Football. Ni miongoni mwa michezo pendwa Duniani, na ni mchezo unaoshika nafasi ya kwanza duniani kwa kutizamwa na kufatilia. Kwa hapa Tanzania mpira wa miguu umekuwa una vipindi maalumu vya uchambuzi kwenye Radio na TV ukilinganisha na michezo mingine kama Mchezo wa ngumi, mpira wa kikapu na kadharika.

Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu uhalali na uharamu wa mchezo wa mpira wa miguu kwenye Dini ya kiislamu. Wengi wakisema ni mchezo haramu, na hauruhusiwi katika Dini. Lakini cha kushangaza waarabu wenyewe ambao ndio Dini imetoka kwao ni wafuasi namba moja wa mchezo huo ambao hivi karibuni tumeona wamepindua meza kwa kuamua kusajilii miamba ya soka kutoka sehemu mbalimbali za ulaya na mabara mengine hili kuvutia Soka la uarabuni. Vivyo hivyo tumeona Mchezaji mpira "Christiano Ronaldo" akiwa kwenye basi mmoja katika jiji huko Nchini Iran 🇮🇷 ambayo ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya kiislamu, lakini tuliona Ronaldo akikimbiliwa kama Masiha au Mwokozi, na watu wa Iran. Hata hapa tunaona watu walioshika Dini mfano haji Manara kila Mwaka anaenda kuhijj Macca na sehemu takatifu za urabuni na kuhubiri Dini lakini pia ni muumini mzuri wa mpira wa miguu.

Na Nchini pia tunaona Masheikh wengi wakiwa misikitini wanahubiri mpira ni haramu lakini wao ndio namba moja wanaokwenda kutizama soka, mfano nilienda Jijini Mwanza wilaya ya Sengerema, kuna msikiti hupo mjini alafu kwenye njia ya kuingilia msikitini kuna vibanda viwili vya kahawa vyenye TV ambavyo watu wakitoka kuswali upumzika hapo kunywa kahawa na mazungumzo ya hapa na pale, ila vibanda hivi ufurika siku za mechi ya Simba na Yanga na mechi nyingine za kuvutia, na wanaokaa hapa wengi wao ni waislamu ambao wanataka kuingia msikitini au wanaotoka kuswali msikitini.

Kwa anayefahamu, tunaomba maelezo pia kama ikiwezekana na vifungu vya Quran kwamba mpira ni haramu... Maana wengine wanasema vitu ambavyo havikufanywa na mtume vingi ni haramu, na mwingine akauliza mtume alihubiri kwa kutumia kifaa gani, sasa kwa nini hawa masheikh wanatumia Microphone. Na kadharika sasa tunaomba ufafanuzi kuhusu mpira wa miguu juu ya uharamu wake.

View: https://www.instagram.com/reel/Cv5i1zWrLAy/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

Uislamu ni kufuata mafundisho ya Quran na Sunnah

Uislamu sio kufuata Mila za waarabu (Watu wengi Wana dhana mbaya)

Kuna waarabu wahuni kupitiliza, wa

Kuna waarabu wahuni kupitiliza, wauaji, wasagaji, wazinzi, washirikina, Wala tigo nk je huo ndio uislamu???

Katika uislamu, mtanzania anaweza kuwa mbora kuliko mwarabu kwa sharti akiwa mchamungu

يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُمْ مِنْ ذَكَرٍ وَأُنْثَىٰ وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا ۚ إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِنْدَ اللَّهِ أَتْقَاكُمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ

Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. (49:13)

Ukitaka kujua uharamu wa mpira angalia yanayofanyika kwenye mpira
 
Iyo rangi ya meno ni chata identity. Tutabaki kuwa kabila pekee africa mashariki na kati Wenye IQ kubwa, maendeleo na uelewa ukiondoa wakikuyu na Tutsi.

Mtajaribu wee kutushusha mtashindwa.

Tafiti za DNA zimedhihirisha na kuthibitisha.

darcity
Nyie wengi matahira yaani ukichukua watu 8 kwenu 3 ni wendawazimu ....Matahira wengi mikoani wanatokea huko kwenu kuwa makini😅😅nasaba yenu ni utahira wengi wanatolewa kafara.

Kimkoa kina watu kidogo ila matahira ni wengi 😅😅

Screenshot_20230922-170247.png
 
Kama Saudi Arabia kwenyewe ndiyo kwanza mpira wa miguu umehamia huko!! Hivi kuna Muislam atapata ujasiri wa kuuita mpira wa miguu ni haram kweli?
 
Back
Top Bottom