UnawezaHuwezi kubadili unachokifanya kila siku
Kama ukitaka lakini sio dini iliyotufundisha yoteUnaweza
Uislam ni dini ya zama za mawe iliyojikita katika mila za kiarabuUhusiano kati ya Uislamu na ulimwengu wa kisasa ni mada tata na yenye utata. Wengine wanasema haya mawili hayana utangamano wowote, huku wengine wakidai kuwa Uislamu unaweza kubadilika na kukua ili kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa kisasa.
Nimeona ukristo unajitahidi kuendana na hii karne .je unaaminj uislam utaweza .
Maana dini yeyote ambayo haiendani na nyakati .huwa inakufa (mifano ni mingi sana )
Nini mtazamo wako juu ya hili?
Tafadhali naomba mifano mitatu katika mingi uliyokuwa nayo.Uhusiano kati ya Uislamu na ulimwengu wa kisasa ni mada tata na yenye utata. Wengine wanasema haya mawili hayana utangamano wowote, huku wengine wakidai kuwa Uislamu unaweza kubadilika na kukua ili kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa kisasa.
Nimeona ukristo unajitahidi kuendana na hii karne .je unaaminj uislam utaweza .
Maana dini yeyote ambayo haiendani na nyakati .huwa inakufa (mifano ni mingi sana )
Nini mtazamo wako juu ya hili?
Samahani,tunaomba ushahidi usiokuwa na shaka ndani yake.Namaanisha sura na aya kutoka katika kitabu kitakatifu cha Quran.Elon musk mwenyewe anatumiq Islamic technology
Hizi ndege zimeongelewa miaka 1000 kwenye uislamu
Miaka ya 1980 mlokole ilikuwa marufuku kusuka.Hauendani,
Ukristo umeendana kwa sababu ya reformations mbalimbali
hapa ndipo ulikochemka mzee wangu. Ukristo upo kitambo sana kuliko uislam wa juzi hapa. Ukristo ndio uko mbele zaidi ya wakati. Haya maendeleo yalitabiriwa na ukristo tangu kale. Elon musk ha apply uislam kwenye teknolojia. Sayansi na teknolojia wali apply wapagani na wakristo. Wasome wagiriki/wayunani na wayahudi, kuna muislam hapo? Muache ushabiki wa kidini kwa kuwa mnaziabudu dini hizoUislamu upo mbele ya dunia mambo yote ambayo unayaonq Leo hii tayari yameongelewa kwenye uislamu
Elon musk mwenyewe anatumiq Islamic technology
Hizi ndege zimeongelewa miaka 1000 kwenye uislamu
So uislamu ni mfumo wa Maisha ya binadamu hayawezi kuwa nyuma daima bro
Achana na ukristo ambayo ni Dini ya kutunga (agano jipya)
Uislamu upo mbele ya dunia mambo yote ambayo unayaonq Leo hii tayari yameongelewa kwenye uislamu
Elon musk mwenyewe anatumiq Islamic technology
Hizi ndege zimeongelewa miaka 1000 kwenye uislamu
So uislamu ni mfumo wa Maisha ya binadamu hayawezi kuwa nyuma daima bro
Achana na ukristo ambayo ni Dini ya kutunga (agano jipya)
Kuna hii Wakati wa mawaidha Yao Ile saa2 usiku ama mchana au jioni Huwa Wana connect na blue tooth asee utasikia Bluetooth connect successful halafu unasikia "Bismilah.....Uhusiano kati ya Uislamu na ulimwengu wa kisasa ni mada tata na yenye utata. Wengine wanasema haya mawili hayana utangamano wowote, huku wengine wakidai kuwa Uislamu unaweza kubadilika na kukua ili kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa kisasa.
Nimeona Ukristo unajitahidi kuendana na hii karne. Je, unaaminj Uislam utaweza?
Maana dini yeyote ambayo haiendani na nyakati huwa inakufa (mifano ni mingi sana )
Nini mtazamo wako juu ya hili?