Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Hizo ndege za Elon Musk zimeongelewa aya ipi au hadithi ipi...?Uislamu upo mbele ya dunia mambo yote ambayo unayaonq Leo hii tayari yameongelewa kwenye uislamu
Elon musk mwenyewe anatumiq Islamic technology
Hizi ndege zimeongelewa miaka 1000 kwenye uislamu
So uislamu ni mfumo wa Maisha ya binadamu hayawezi kuwa nyuma daima bro
Achana na ukristo ambayo ni Dini ya kutunga (agano jipya)