Uislamu na unaweza kuendana na ulimwengu wa kisasa (21st century)?

Hizo ndege za Elon Musk zimeongelewa aya ipi au hadithi ipi...?
 
Ukristo ndio hauwezi kuendana na mabadiriko ya ulimwengu ndio maa Papa amependekeza iandikwe Bibilia mpya Ili iendane na mambo ya sasa
 
Ukristo ndio hauwezi kuendana na mabadiriko ya ulimwengu ndio maa Papa amependekeza iandikwe Bibilia mpya Ili iendane na mambo ya sasa
Papa sio kiongozi wa Ukristo, halafu Papa na uislamu ni Pete na kidole

Catholic church ndio waanzilishi wa Uislamu
 
Uislam umepitwa na wakati na si dini ya kuifuata hata kidogo kwani ukiangalia misingi yake imekaa sana kwenye unyanyasaji, ubaguzi, chuki. Huwezi ishi maisha ya karne ya 6 kwa karne hii ya 21, it's just pathetic na ndiyo maana unakuta Waislam wengi hawajitambui na ukiwaambia ukweli kuwafungua macho wanataka kukuuua au kukusomea albadiri uwe kichaa usiseme ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…