Ujamaa system bana, sasa ni marufuku kwa Watanzania kufanya "jogging" siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yaani tu basi....

=======

Polisi Dar wapiga marufuku jogging siku za ibada​

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa halitatoa vibali kwa ajili ya watu kufanya mbio za taratibu (jogging) katika siku za ibada kwa sababu wafanya mazoezi hao wamekuwa wakiwachelewesha waumini kwenda kwenye nyumba za ibada.

Kamanda Lazaro Mambosasa amesema kuwa waumini wengi Dar es Salaam hutumia magari kwenda kwenye nyumba za ibada, hivyo vikundi vya wakimbiaji huwachelewesha kwa kutumia njia ambazo waumini hao wanatumia.

“… unapoingiza jogging barabarani, unapoingiza maandamano barabarani ya aina yoyote ile yanapelekea kufunga barabara. Ibada zinakwenda na muda… Wanapopata vikwazo njiani wanajikuta wanashindwa kufika kwa wakati, wanakwenda wanakuta ibada zimeshaanza,” amesema Mambosasa.

Amesama siku za ibada zinafahamika kuwa ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, na hivyo hawatatoa vibali kwa siku hizo.
Vikundi mbalimbali vimekuwa vikifanya mazoezi ya pamoja kwa kukimbia pembezoni mwa barabara hasa mwishoni mwa juma.
 
Chomoka jogging wikendi ndio ujue raha yake....hawa hapa makomando wakiwa wamejihami hadi kwa manati/feya

1925210_IMG_20181130_111819.jpeg
 
Yanamuhusu nn au katumwa[emoji23][emoji23]
 
Wakakimbie viwanja na gym. Huu upumbavu aliuleta BASHITE

Kuna makundi ya vijana nilikua nayaona Dar yakifanya mazoezi huku wakiimba nyimbo za kupaishana mizuka, jameni mpaka nilikua natamani kujiunga humo, hivi bado wanakimbia, hiyo kwa kweli ningependa Wakenya tuige, sisi huku huwa tunakimbia makundi ila kimya kimya hamna kuimba.
 
Nadhani anamaanisha something close to half marathon....like what we have in kenya mata heart run...but ukikimbia pekee yako morning..who will you bloke...opened for clarifications..
 
Duhaa! Wana mgambo wa ccmu. Magafool is a mwana mgamabo enterprise.
 
Jirani acha kutuonea gere, COVID tumeiombea ikapiga u-.turn yenyewe. Na matamko yetu yanazidi ya Kim kule Korea Kaskazini.
 
Wacheni kukimbia Kama mavifaranga ya bata

Mmojamja haidhuru haya mavikundi yana wezi ndaniyake na kuleta usumbufu mkubwa

Nb😛ia wake za watu wamemegwa Sana humo
 
Kuna makundi ya vijana nilikua nayaona Dar yakifanya mazoezi huku wakiimba nyimbo za kupaishana mizuka, jameni mpaka nilikua natamani kujiunga humo, hivi bado wanakimbia, hiyo kwa kweli ningependa Wakenya tuige, sisi huku huwa tunakimbia makundi ila kimya kimya hamna kuimba.
Tabia ya shule ya msingi hiyo, wamekua nayo
 
Yaani tu basi....

=======

Polisi Dar wapiga marufuku jogging siku za ibada​

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa halitatoa vibali kwa ajili ya watu kufanya mbio za taratibu (jogging) katika siku za ibada kwa sababu wafanya mazoezi hao wamekuwa wakiwachelewesha waumini kwenda kwenye nyumba za ibada.

Kamanda Lazaro Mambosasa amesema kuwa waumini wengi Dar es Salaam hutumia magari kwenda kwenye nyumba za ibada, hivyo vikundi vya wakimbiaji huwachelewesha kwa kutumia njia ambazo waumini hao wanatumia.

“… unapoingiza jogging barabarani, unapoingiza maandamano barabarani ya aina yoyote ile yanapelekea kufunga barabara. Ibada zinakwenda na muda… Wanapopata vikwazo njiani wanajikuta wanashindwa kufika kwa wakati, wanakwenda wanakuta ibada zimeshaanza,” amesema Mambosasa.

Amesama siku za ibada zinafahamika kuwa ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, na hivyo hawatatoa vibali kwa siku hizo.
Vikundi mbalimbali vimekuwa vikifanya mazoezi ya pamoja kwa kukimbia pembezoni mwa barabara hasa mwishoni mwa juma.

umechomekea issue ya corona , nikujuze tuache na msimamo wetu, hatujakataa chanjo, ila tumekataa kupokea nhanjo kiholela. huko china zimegundulika chanjo feki na zimeshasambazwa kwenye nchi mbalimbali. unalizungumziaje hilo? lazima kuwe na jitihada binafsi kabla.
 
Utakua ndio umekurupuka kutoka kwenye usingizi, nawa uso kwanza maruerue yakutoke, wapi unaona corona imetajwa hapa, hehehe!!! Ina maana kwenu corona huathiri wikendi tu.....
Hayo ya chanjo nyie walalahoi ndio mtaishia kudanganywa wakati vigogo na wenye hela wote wanafuata chanjo Ulaya kimya kimya....
Umaskini ni laana maana hata akili hukutoka.
 
Kuna makundi ya vijana nilikua nayaona Dar yakifanya mazoezi huku wakiimba nyimbo za kupaishana mizuka, jameni mpaka nilikua natamani kujiunga humo, hivi bado wanakimbia, hiyo kwa kweli ningependa Wakenya tuige, sisi huku huwa tunakimbia makundi ila kimya kimya hamna kuimba.
Mchakamchaka...huyo inaanzia primary school na nyimbo zake zipo kama

''Mchamchaka chiinja, alimselema Khadija**
 
Back
Top Bottom