Ujamaa system bana, sasa ni marufuku kwa Watanzania kufanya "jogging" siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili

Kuna makundi ya vijana nilikua nayaona Dar yakifanya mazoezi huku wakiimba nyimbo za kupaishana mizuka, jameni mpaka nilikua natamani kujiunga humo, hivi bado wanakimbia, hiyo kwa kweli ningependa Wakenya tuige, sisi huku huwa tunakimbia makundi ila kimya kimya hamna kuimba.
kaaa mnapimwa Covid china 😀😀😀
 
Nadhani anamaanisha something close to half marathon....like what we have in kenya mata heart run...but ukikimbia pekee yako morning..who will you bloke...opened for clarifications..
Una akili ya kuelewa. Jogging ya ukubwa wa kuzuia barabara sio ndogo. Hapa polisi wamekuwa proactive kwa sababu soon or later wanaocheleweshwa wangeanza kulalamika.

Kama mna jogging kubwa, break it into small interspaced groups that won't block the roads.

Hapa naona mwanzisha mada kaamua kuleta nongwa bila sababu za msingi. Na hapa sijui ujamaa unaingiaje kwenye issue ya law and order!
 
Chomoka jogging wikendi ndio ujue raha yake....hawa hapa makomando wakiwa wamejihami hadi kwa manati/feya

1925210_IMG_20181130_111819.jpeg
AS any mwana ngambo whats bulclova in the picture you provided.......!!!! ZE ZE ZE ZE Picture ze ze!
 
Nadhani anamaanisha something close to half marathon....like what we have in kenya mata heart run...but ukikimbia pekee yako morning..who will you bloke...opened for clarifications..
Kuna makundi huwa wanakimbia zaidi ya watu 20 hawa huwa wanakimbia katikati ya barabara hivyo kusababisha foleni. Hawa wanakimbia almost kila siku huu ni usumbufu.
Marathons official ni once in a while na zinapewa vibali na ulinzi. Kukimbia peke yako au wawili haijazuiwa.
 
sasa munakimbia ya nini wakati hamuna medali hata moja ya Olimpiki,,,, Marathon zote duniani najaribu kuwatafuta na tochi hamuonekani hata ile Kilimanjaro Marathon huwa no. 1 -30 ni Wakenya tupu..... huu kama si ubishoo ni nini sasa?
 
Mazoezi kidogo kwa afya. Medals tumewaachia nyinyi. Kilimanjaro huwa tunakuwemo top 10.
 
Mbiyo ya mgambo has nothing to do physical body endurance. Mgambo is analogy of ccmu panel beating of ndaganyi(ass) die-hard herders
 
Kuna makundi ya vijana nilikua nayaona Dar yakifanya mazoezi huku wakiimba nyimbo za kupaishana mizuka, jameni mpaka nilikua natamani kujiunga humo, hivi bado wanakimbia, hiyo kwa kweli ningependa Wakenya tuige, sisi huku huwa tunakimbia makundi ila kimya kimya hamna kuimba.
Joggig waliniblock njiani almanusura niachwe na flight Dar - Mwanza.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
sasa munakimbia ya nini wakati hamuna medali hata moja ya Olimpiki,,,, Marathon zote duniani najaribu kuwatafuta na tochi hamuonekani hata ile Kilimanjaro Marathon huwa no. 1 -30 ni Wakenya tupu..... huu kama si ubishoo ni nini sasa?
Akili fupi hizi. Sio kila mbio ni mashindano na sio kila marathon ni kwa ajili ya Olimpic.
 
matusi ni ya nini?
Akili fupi sio tusi. Ni akili isiyoweza kuona mbali kwenye jambo fulani. Kwenye hili akili yako imekuwa fupi sana. Kiingereza ningesema you are myopic on the topic.
 
How is that Ujamaa ?, Dictatorship and Strange Maybe..., but definetely not ujamaa, and this I think is lack of clarity and communication...

Hatutatoa vibali vya jogging (this means this is not a normal jogging more or less a promotion thing which needs permission) All I can say this gentleman through lack of better judgement has created problems where there is non... And if this jogging is causing public nuisance there is better way to deal with it..., because even during working days it will bother people...
 
Jogging wakafanye viwanjani huko, waleta usumbufu tu barabarani
 
Back
Top Bottom