GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,465
kaaa mnapimwa Covid china 😀😀😀Kuna makundi ya vijana nilikua nayaona Dar yakifanya mazoezi huku wakiimba nyimbo za kupaishana mizuka, jameni mpaka nilikua natamani kujiunga humo, hivi bado wanakimbia, hiyo kwa kweli ningependa Wakenya tuige, sisi huku huwa tunakimbia makundi ila kimya kimya hamna kuimba.
Sio unafikiri ila sio sahihi kabisa, Kwa wanaoamini Mungu, waambieni hao mashetani wakalaleNafikiri si sahihi!
Una akili ya kuelewa. Jogging ya ukubwa wa kuzuia barabara sio ndogo. Hapa polisi wamekuwa proactive kwa sababu soon or later wanaocheleweshwa wangeanza kulalamika.Nadhani anamaanisha something close to half marathon....like what we have in kenya mata heart run...but ukikimbia pekee yako morning..who will you bloke...opened for clarifications..
AS any mwana ngambo whats bulclova in the picture you provided.......!!!! ZE ZE ZE ZE Picture ze ze!Chomoka jogging wikendi ndio ujue raha yake....hawa hapa makomando wakiwa wamejihami hadi kwa manati/feya
Kuna makundi huwa wanakimbia zaidi ya watu 20 hawa huwa wanakimbia katikati ya barabara hivyo kusababisha foleni. Hawa wanakimbia almost kila siku huu ni usumbufu.Nadhani anamaanisha something close to half marathon....like what we have in kenya mata heart run...but ukikimbia pekee yako morning..who will you bloke...opened for clarifications..
sasa munakimbia ya nini wakati hamuna medali hata moja ya Olimpiki,,,, Marathon zote duniani najaribu kuwatafuta na tochi hamuonekani hata ile Kilimanjaro Marathon huwa no. 1 -30 ni Wakenya tupu..... huu kama si ubishoo ni nini sasa?Kuna makundi huwa wanakimbia zaidi ya watu 20 hawa huwa wanakimbia katikati ya barabara hivyo kusababisha foleni. Hawa wanakimbia almost kila siku huu ni usumbufu.
Marathons official ni once in a while na zinapewa vibali na ulinzi. Kukimbia peke yako au wawili haijazuiwa.
Mazoezi kidogo kwa afya. Medals tumewaachia nyinyi. Kilimanjaro huwa tunakuwemo top 10.sasa munakimbia ya nini wakati hamuna medali hata moja ya Olimpiki,,,, Marathon zote duniani najaribu kuwatafuta na tochi hamuonekani hata ile Kilimanjaro Marathon huwa no. 1 -30 ni Wakenya tupu..... huu kama si ubishoo ni nini sasa?
Joggig waliniblock njiani almanusura niachwe na flight Dar - Mwanza.Kuna makundi ya vijana nilikua nayaona Dar yakifanya mazoezi huku wakiimba nyimbo za kupaishana mizuka, jameni mpaka nilikua natamani kujiunga humo, hivi bado wanakimbia, hiyo kwa kweli ningependa Wakenya tuige, sisi huku huwa tunakimbia makundi ila kimya kimya hamna kuimba.
Akili fupi hizi. Sio kila mbio ni mashindano na sio kila marathon ni kwa ajili ya Olimpic.sasa munakimbia ya nini wakati hamuna medali hata moja ya Olimpiki,,,, Marathon zote duniani najaribu kuwatafuta na tochi hamuonekani hata ile Kilimanjaro Marathon huwa no. 1 -30 ni Wakenya tupu..... huu kama si ubishoo ni nini sasa?
matusi ni ya nini?Akili fupi hizi. Sio kila mbio ni mashindano na sio kila marathon ni kwa ajili ya Olimpic.
matusi ni ya nini?Akili fupi hizi. Sio kila mbio ni mashindano na sio kila marathon ni kwa ajili ya Olimpic.
Akili fupi sio tusi. Ni akili isiyoweza kuona mbali kwenye jambo fulani. Kwenye hili akili yako imekuwa fupi sana. Kiingereza ningesema you are myopic on the topic.matusi ni ya nini?
umepata ni futi au mita ngapi?Akili fupi sio tusi. Ni akili isiyoweza kuona mbali kwenye jambo fulani. Kwenye hili akili yako imekuwa fupi sana. Kiingereza ningesema you are myopic on the topic.
🤣🤣🤣umepata ni futi au mita ngapi?