Mwandishi kaeleza ni namna Gani ukielewa vitu unaweza fanikiwa mbali na kua msomi.
Ni ukweli uliowazi, ukiwa na professor au una ma PHD mengi, usipokua fisadi Kwa maana ujipenyeze kwenye siasa na usomi na uzalendo uweke kando, huwez fanikiwa. Usomi wako utakuonesha unatija kama ukiwa kwenye siasa na uwe fisadi.
Dini zinapumbaza na kuwawezesha wenye akili kubeba na kupata wanavyovihitaji. Ni simple logic, black colour inaonekana ni kama laana hiv, wakati ukweli halisi sio hivyo. Wamefanya hiv Ili hofu na kutojiamini kutawale kati yetu.
Ni mengi muandishi kaeleza, soma pole pole utaelewa.
Binafsi, dini yangu ni matendo mema na kusaidia wasioweza. Hizo habari za Mimi Mwislamu au mkristo ni namna ya kujumuika na jamii tu ila Haina maana bila hayo mtu unakua kafiri, huwez fika mbinguni Kwa Muumba.
Bandiko zuri, Hongera Mwandishi.