Ujanja uliotumika kwa kocha wa Polisi Tanzania ndio utakaotumika kwa Coastal Union (Wanamangushi)

Unashabikia mpira kimihemko sana, utakufa kwa presha
 
Wewe unaonaje
Acheni kujitoa ufahamu kwa kujidai mmeshikwa na uchungu kwa mechi ya Simba.Turudi kwenye mechi ya Yanga na Mbeya City.Pale mlikuwa mnafanya maigizo ya kihindi kuanzia upangaji wa wachezaji,uchezaji hadi ufungaji wa magoli.Msipoteze watu maboya wakati yenu mnayajua.Utopolo ninyi.
 
Polisi ndiyo walikuwa wanahitaji ushindi kuliko Simba. Kiwango kimeamua mchezo.
Polisi ata wangeshinda mechi walikuwa wanashuka daraja, kwa maana iyo biashara imefanyika maana awakuwa na cha kupoteza, mayele ashafunga hesabu zake na atocheza mechi inayofata kwa sababu tiyali mipango iliyopo ishavuja, kiatu chake cha caf kinatosha kumtofautisha na washambuliaji wote wa tanzania, anabaki kuwa mshambuliaji bora kuwai kutokea na mwenye mafanikio ya kubeba makombe
 
Hii iko wazi, hata msimu uliopita ilikua hujuma pia, utashangaa wakienda kule Caf Saido hana goli wala assist
 
Acha ujinga na utoto mpira unachezwa uwanjani siyo chumbani kama unapiga nyeto
 
Mleta mada nenda ulale upigwe kamoja.
 
Andika vizuri sio kulalama ,sikila mtu anajua mayele na saido wanamagoli mangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…