Ujanja uliotumika kwa kocha wa Polisi Tanzania ndio utakaotumika kwa Coastal Union (Wanamangushi)

Ujanja uliotumika kwa kocha wa Polisi Tanzania ndio utakaotumika kwa Coastal Union (Wanamangushi)

Kule hakuna hizo tuzo mkuu, ila siunatujua wabongo tukiamuaga kufanya kitu cha kijinga kionekane cha maana
Kwa kweliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njia haramu ipi? Kwahiyo Saido hakutakiwa Kufunga? Mayele aliwafunga zalan FC goli 7 Peke yake uliona Uzi humu watu wakisema Yanga mmenunua mechi?

Hadi Jana kabla ya game Saido alikuwa na goli 10 tu na mayele goli 16 hivi kama una Akili timamu unaweza kudhania kuna ambae angefikiria kwenye hizi mechi mbili zilizobakia Saido angefuga ata goli 3 Tu?

Kuna mwenye Akili timamu atasema sasa kwenye hizi game 2 zilizobakia acha tuhonge ili Saido atoke kwenye goli 10 hadi afikishe 16 au azidi 17 ili awe mfungaji Bora NBC? Hiyo imetokea tu zari basi na sio hizi ngonjera zenu ambazo hazina kichwa wala miguu

Hebu ifikie hatua tuwe tunatumia Akili zetu vizuri mkuu, polisi hawezi kuuza mechi ikiwa alikuwa anataka kujikwamua, hoja yako ya kusema ata wangeshinda wanashuka daraja umeshindwa kuitetea maana umejiona ulivo toa hoja dhaifu

Ni kweli Kila mtu anajua ubora wa mayele hilo halina Shaka ata kama hotokuwa mfungaji Bora sasa kama nawewe unalijua hilo unachangia hoja za kitoto kama hizi za nini?
Mkumbushe Ngassa aliwahi kuwafunga Kagera sugar goli 5 kwenye ushindi wa goli 8 mwaka 98 nsa job alifunga goli 5 mwaka 2009 wakati akichezea Azam kwenye ushindi wa goli 6-1, Okwi alifunga goli 5 kwenye ushindi wa goli 7-1. dhidi ya Ruvu
 
Nani mjinga asiyekua na akili kwani Nani asiyejua kuwa Kuna mpango unatengenezwa makusudi ili mchezaji wa Simba sc apate kiatu Cha ufungaji Bora?

Kocha wa Polisi Tanzania hutufai katika ligi yetu kutokana na utumbo /njama za wazi zinazofanyika ili hao Mabwana angalau wafute machozi.

Coastal union na Simba sc ni Kama beka na Bakari tu tunajua Nini kitafuata lazima mazingira yatengenezwe ili Saidoo Ntibazonkiza achukue kiatu mbele ya Fistoni kalala Mayele.
Wewe kweli kibuyu
 
Unajua Nini wewe??

Angalia gemu ya namungo vs Dodoma jijj it woz fixed game dodoma ilikua lazima washinde Namungo hakuna anachokishindania na ikawa simple kumuacha Dodoma jijj timu ya wabunge wajikongoje wasicheze play off.
Sawa,ila mechi ya jana polisi walikuwa lazima washinde ili angalau wacheze delegation,sasa nashangaa mnasema wameuza mechi how???haya na ruvu shooting waliuza..manake nao walilala.
 
Nani mjinga asiyekua na akili kwani Nani asiyejua kuwa Kuna mpango unatengenezwa makusudi ili mchezaji wa Simba sc apate kiatu Cha ufungaji Bora?

Kocha wa Polisi Tanzania hutufai katika ligi yetu kutokana na utumbo /njama za wazi zinazofanyika ili hao Mabwana angalau wafute machozi.

Coastal union na Simba sc ni Kama beka na Bakari tu tunajua Nini kitafuata lazima mazingira yatengenezwe ili Saidoo Ntibazonkiza achukue kiatu mbele ya Fistoni kalala Mayele.
za ndaani makubaliano ni kwamba simba wamekubali wafungwe na coast ili coast isiende kucheza play off ila coast wanatakiwa wampe goli 3 saidoo,

so fulltime mechi itakuwa na magoli mengi kama 3-4 au 4-5 hivi,yaani ile piga nikupige,ila za simba zitafungwa na saidoo tu....ila upande wa pili nao safari hii watu hawakubali kuna mpango kabambe unasukwa ndo maana king leo ameanza kupasha misuli moto coz yanga wanacheza na timu ambayo haina cha kupoteza ki position so kuna watu watabaki na mshangao wa karne hawataamini macho yao kuna mtu atafunga hata 9 peke yake siku iyo...KAMA MBWAI NA IWE MBAI TU,WACHA LIGI IDHALILIKE
 
Paragraph ya mwisho hapooo, ndo maana nashangaa mbna huyo mayele simuoni na kiatu, hata Diarra eti kipa bora, kumbe ni Man of the match [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna muda waga Unaonekana na Akili timamu ila likija swala la Yanga lazima ujichetue tu

Umepiga hesabu gani kuwa polisi ata wangeshinda walikuwa wanashuka daraja umeangalia Msimamo kweli?

Polisi angeshinda angekuwa na points 28 akiwa nafasi ya 15 na KMC angekuwa na points 29 na wote wamebakiwa na mchezo mmoja maana yake mchezo wa mwisho ndio ungeamua nani ashuke daraja na nani acheze playoff

Acha ujinga, wewe ndio waga mwana Yanga unaejitahidi kuongea facts ila unataka kuwa kama wenzio, team inaweza kununua mchezo hatukatai ila sio kwenye situation aliyonayo polisi

Na hakunaga kununua mechi eti afunge mtu mmoja tu we Umewahi kuskia wapi? Akifunga mayele ni uwezo ila wakifunga wengine wamenunua

Na kingine bado mayele ana nafasi ya kuwa mfugaji Bora NBC Kwa sababu anaongoza chart lakini pia ana mchezo mmoja ambao anaweza kucheza na mbaya zaidi sio kweli kwamba saido anaweza Kufunga kila mechi

Nikukumbushe tu hakunaga kiatu cha ufingaji Bora shirikisho hiyo inabakia sifa tu ambayo ukitaka kuijua unaenda Google kusachi, kama ilivobakia kwa Mrisho Ngasa ila hautokuja kumuona mayele ameshika kiatu cha ufingaji Bora shirikisho labda achonge mwenyewe
Aiseee Yanga wanajua propaganda, naanza kumuelewa yule aliyesema tuache kuiongelea Yanga tunaipa tu mileage huku mitandaoni. Kumbeee shirikisho hamna kiatu cha mfungaji bora, hawa kenge walishaniuza. Kwa hiyo hii kumbukumbu inabaki tu kwenye magazeti ya udaku, daaah....
 
za ndaani makubaliano ni kwamba simba wamekubali wafungwe na coast ili coast isiende kucheza play off ila coast wanatakiwa wampe goli 3 saidoo,

so fulltime mechi itakuwa na magoli mengi kama 3-4 au 4-5 hivi,yaani ile piga nikupige,ila za simba zitafungwa na saidoo tu....ila upande wa pili nao safari hii watu hawakubali kuna mpango kabambe unasukwa ndo maana king leo ameanza kupasha misuli moto coz yanga wanacheza na timu ambayo haina cha kupoteza ki position so kuna watu watabaki na mshangao a karne hawataamini macho yao kuna mtu atafunga hata 9 peke yake siku iyo...KAMA MBWAI NA IWE MBAI TU,WAHA LIGI IDHALILIKE
🤣😂🤣😂🤣 Mayele huyu huyu ambaye hata gemu za Tigo Pesa nafasi 5 anatupia 1. Labda siku hiyo tupate maana halisi ya kipa katoka.
 
Labda haujaangalia mechi toka mwanzo ila Baleke alianza akaumia.

Jamaa anaandika tuu bila ya kufatilia mambo, Baleke kacheza na huyo Kocha wa Polisi Tanzania ndio yule aliyekuwa kocha wao aliyewafanyia kazi kwa hisani enzi za msoto wao.
 
Jamaa anaandika tuu bila ya kufatilia mambo, Baleke kacheza na huyo Kocha wa Polisi Tanzania ndio yule aliyekuwa kocha wao aliyewafanyia kazi kwa hisani enzi za msoto wao.
Nadhani ulitakiwa umjibu huyo niliyemjibu mimi. Ulichoandika na mimi ndiyo nimemjibu hivyo.
 
Back
Top Bottom