Ujanja uliotumika kwa kocha wa Polisi Tanzania ndio utakaotumika kwa Coastal Union (Wanamangushi)

Unalia nini? kuna goli lisilo halali ambalo lilifungwa jana?

Ukiwa utopolo kubali tu, usijifiche kinafiki maumivu yakizidi yatakuumbua, pole.
 
Fixed match lazima tuzungumze.
 
Polisi ata wangeshinda mechi walikuwa wanashuka daraja, kwa maana iyo biashara imefanyika maana awakuwa na cha kupoteza, mayele ashafunga hesabu zake na atocheza mechi inayofata kwa sababu tiyali mipango iliyopo ishavuja, kiatu chake cha caf kinatosha kumtofautisha na washambuliaji wote wa tanzania, anabaki kuwa mshambuliaji bora kuwai kutokea na mwenye mafanikio ya kubeba makombe
Kuna muda waga Unaonekana na Akili timamu ila likija swala la Yanga lazima ujichetue tu

Umepiga hesabu gani kuwa polisi ata wangeshinda walikuwa wanashuka daraja umeangalia Msimamo kweli?

Polisi angeshinda angekuwa na points 28 akiwa nafasi ya 15 na KMC angekuwa na points 29 na wote wamebakiwa na mchezo mmoja maana yake mchezo wa mwisho ndio ungeamua nani ashuke daraja na nani acheze playoff

Acha ujinga, wewe ndio waga mwana Yanga unaejitahidi kuongea facts ila unataka kuwa kama wenzio, team inaweza kununua mchezo hatukatai ila sio kwenye situation aliyonayo polisi

Na hakunaga kununua mechi eti afunge mtu mmoja tu we Umewahi kuskia wapi? Akifunga mayele ni uwezo ila wakifunga wengine wamenunua

Na kingine bado mayele ana nafasi ya kuwa mfugaji Bora NBC Kwa sababu anaongoza chart lakini pia ana mchezo mmoja ambao anaweza kucheza na mbaya zaidi sio kweli kwamba saido anaweza Kufunga kila mechi

Nikukumbushe tu hakunaga kiatu cha ufingaji Bora shirikisho hiyo inabakia sifa tu ambayo ukitaka kuijua unaenda Google kusachi, kama ilivobakia kwa Mrisho Ngasa ila hautokuja kumuona mayele ameshika kiatu cha ufingaji Bora shirikisho labda achonge mwenyewe
 
Unajua Nini wewe??

Angalia gemu ya namungo vs Dodoma jijj it woz fixed game dodoma ilikua lazima washinde Namungo hakuna anachokishindania na ikawa simple kumuacha Dodoma jijj timu ya wabunge wajikongoje wasicheze play off.
 
Yang'a tukiwaambia bado mna makasiriko na bado mna dukuduku tutakua tumekosea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hawana furahaa kabisaa, wanalazimishaa afu hawawezi kuigiza sasa.
 
Kocha ni mwanachama wa utopolo kwa mapenzi yake mpaka alikuwa anakopesha timu pesa halafu ghafla ageuke Simba, jitahidini ili Ile kauli ya wenye akili yanga ni wawili ionekane uwongo
 
Kuna muda waga Unaonekana na Akili timamu ila likija swala la Yanga lazima ujichetue tu

Umepiga hesabu gani kuwa polisi ata wangeshinda walikuwa wanashuka daraja umeangalia Msimamo kweli?

Polisi angeshinda angekuwa na points 28 akiwa nafasi ya 15 na KMC angekuwa na points 29 na wote wamebakiwa na mchezo mmoja maana yake mchezo wa mwisho ndio ungeamua nani ashuke daraja na nani acheze playoff

Acha ujinga, wewe ndio waga mwana Yanga unaejitahidi kuongea facts ila unataka kuwa kama wenzio, team inaweza kununua mchezo hatukatai ila sio kwenye situation aliyonayo polisi

Na hakunaga kununua mechi eti afunge mtu mmoja tu we Umewahi kuskia wapi? Akifunga mayele ni uwezo ila wakifunga wengine wamenunua

Na kingine bado mayele ana nafasi ya kuwa mfugaji Bora NBC Kwa sababu anaongoza chart lakini pia ana mchezo mmoja ambao anaweza kucheza na mbaya zaidi sio kweli kwamba saido anaweza Kufunga kila mechi

Nikukumbushe tu hakunaga kiatu cha ufingaji Bora shirikisho hiyo inabakia sifa tu ambayo ukitaka kuijua unaenda Google kusachi, kama ilivobakia kwa Mrisho Ngasa ila hautokuja kumuona mayele ameshika kiatu cha ufingaji Bora shirikisho labda achonge mwenyewe
Hoja ya kuchukua kiatu aiwezi kumuondolea mayele ubora na uwezo wake aliokwisha kuonyesha, achukue asichukue bado ataendelea kuwa mshambuliaji bora kuliko wote Tanzania, hii kampeni ya simba ya kukitaka kiatu kwa njia haramu ndiyo tunaisemea! Mayele keshafanya kazi yake ya kuisaidia timu kufika fainali ya kombe la shirikisho, kaisaidia timu kutwaa ndoo ya ligi kuu, aliisaidia timu kutwaa ngao ya jamii, na anakwenda kuisaidia timu kutwaa kombe la FA na tiyali ashavaa medali ya caf, kwa maana iyo kupanga ni kuchagua kuna wanaotaka kiatu lakini awana chochote mkononi misimu 2mfululizo pia wanakuwa sahihi kwa kuwa kipaumbele chao ni kiatu but kwa mayele kiatu kitakuja tu automatic kama mungu amepanga,
 
Paragraph ya mwisho hapooo, ndo maana nashangaa mbna huyo mayele simuoni na kiatu, hata Diarra eti kipa bora, kumbe ni Man of the match [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njia haramu ipi? Kwahiyo Saido hakutakiwa Kufunga? Mayele aliwafunga zalan FC goli 7 Peke yake uliona Uzi humu watu wakisema Yanga mmenunua mechi?

Hadi Jana kabla ya game Saido alikuwa na goli 10 tu na mayele goli 16 hivi kama una Akili timamu unaweza kudhania kuna ambae angefikiria kwenye hizi mechi mbili zilizobakia Saido angefuga ata goli 3 Tu?

Kuna mwenye Akili timamu atasema sasa kwenye hizi game 2 zilizobakia acha tuhonge ili Saido atoke kwenye goli 10 hadi afikishe 16 au azidi 17 ili awe mfungaji Bora NBC? Hiyo imetokea tu zari basi na sio hizi ngonjera zenu ambazo hazina kichwa wala miguu

Hebu ifikie hatua tuwe tunatumia Akili zetu vizuri mkuu, polisi hawezi kuuza mechi ikiwa alikuwa anataka kujikwamua, hoja yako ya kusema ata wangeshinda wanashuka daraja umeshindwa kuitetea maana umejiona ulivo toa hoja dhaifu

Ni kweli Kila mtu anajua ubora wa mayele hilo halina Shaka ata kama hotokuwa mfungaji Bora sasa kama nawewe unalijua hilo unachangia hoja za kitoto kama hizi za nini?
 
Paragraph ya mwisho hapooo, ndo maana nashangaa mbna huyo mayele simuoni na kiatu, hata Diarra eti kipa bora, kumbe ni Man of the match [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule hakuna hizo tuzo mkuu, ila siunatujua wabongo tukiamuaga kufanya kitu cha kijinga kionekane cha maana
 
Kocha ni mwanachama wa utopolo kwa mapenzi yake mpaka alikuwa anakopesha timu pesa halafu ghafla ageuke Simba, jitahidini ili Ile kauli ya wenye akili yanga ni wawili ionekane uwongo
Kwa Nini mlikuwa mnamshutumu Suleiman Matola kuwa anaihujumu Simba wakati ni Simba kindaki ndaki??
 
Lakini ukuzungumzia mfungaji Bora ni Nan utamtaja??
Mkuu mfungaji Bora wote tunamjua kuwa ni Fiston kalala mayele, Mie hoja yangu ilikuwa ni kumjibu kiongozi pale juu aliposema kiatu cha ufingaji Bora shirikisho kinatosha

Ndo nikamkumbusha kuwa kule hakuna viatu Maalimu kule ni sifa tu ambayo anabakia nayo mchezaji ila hapati uthibitisho wowote ule ambao mtamtambulisha kama mfungo Bora

Kama ilivokuwa kwa homeboy wetu Mrisho Ngasa, Yale mashindano ukubwa wake ni kuchukua kombe Tu, unless otherwise kila kitu kinakuwa cha kawaida tu

Maana hakuna mchezaji bora wa mashindano,hakuna golikipa bora, hakuna mfungaji bora,hakuna kocha bora wala hakuna Mshindi wa pili maana ile sio Riadha wala Olympic
 
Polisi ata wangeshinda mechi walikuwa wanashuka daraja, kwa maana iyo biashara imefanyika maana awakuwa na cha kupoteza, mayele ashafunga hesabu zake na atocheza mechi inayofata kwa sababu tiyali mipango iliyopo ishavuja, kiatu chake cha caf kinatosha kumtofautisha na washambuliaji wote wa tanzania, anabaki kuwa mshambuliaji bora kuwai kutokea na mwenye mafanikio ya kubeba makombe
Picha akiwa na hicho kiatu?
 
Mbona mnalalamika sana, hata mkishindwa kuwafikisha kileleni wake zenu mtasema Simba ìnahusika

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom