NAKAZIA.Fixed match, TAKUKURU wako wapi? TAKUKURU TZ
Fixed match lazima tuzungumze.Unalia nini? kuna goli lisilo halali ambalo lilifungwa jana?
Ukiwa utopolo kubali tu, usijifiche kinafiki maumivu yakizidi yatakuumbua, pole.
Kuna muda waga Unaonekana na Akili timamu ila likija swala la Yanga lazima ujichetue tuPolisi ata wangeshinda mechi walikuwa wanashuka daraja, kwa maana iyo biashara imefanyika maana awakuwa na cha kupoteza, mayele ashafunga hesabu zake na atocheza mechi inayofata kwa sababu tiyali mipango iliyopo ishavuja, kiatu chake cha caf kinatosha kumtofautisha na washambuliaji wote wa tanzania, anabaki kuwa mshambuliaji bora kuwai kutokea na mwenye mafanikio ya kubeba makombe
Unajua Nini wewe??Kuna muda waga Unaonekana na Akili timamu ila likija swala la Yanga lazima ujichetue tu
Umepiga hesabu gani kuwa polisi ata wangeshinda walikuwa wanashuka daraja umeangalia Msimamo kweli?
Polisi angeshinda angekuwa na points 28 akiwa nafasi ya 15 na KMC angekuwa na points 29 na wote wamebakiwa na mchezo mmoja maana yake mchezo wa mwisho ndio ungeamua nani ashuke daraja na nani acheze playoff
Acha ujinga, wewe ndio waga mwana Yanga unaejitahidi kuongea facts ila unataka kuwa kama wenzio, team inaweza kununua mchezo hatukatai ila sio kwenye situation aliyonayo polisi
Na hakunaga kununua mechi eti afunge mtu mmoja tu we Umewahi kuskia wapi? Akifunga mayele ni uwezo ila wakifunga wengine wamenunua
Na kingine bado mayele ana nafasi ya kuwa mfugaji Bora NBC Kwa sababu anaongoza chart lakini pia ana mchezo mmoja ambao anaweza kucheza na mbaya zaidi sio kweli kwamba saido anaweza Kufunga kila mechi
Nikukumbushe tu hakunaga kiatu cha ufingaji Bora shirikisho hiyo inabakia sifa tu ambayo ukitaka kuijua unaenda Google kusachi, kama ilivobakia kwa Mrisho Ngasa ila hautokuja kumuona mayele ameshika kiatu cha ufingaji Bora shirikisho labda achonge mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hawana furahaa kabisaa, wanalazimishaa afu hawawezi kuigiza sasa.Yang'a tukiwaambia bado mna makasiriko na bado mna dukuduku tutakua tumekosea?
Hoja ya kuchukua kiatu aiwezi kumuondolea mayele ubora na uwezo wake aliokwisha kuonyesha, achukue asichukue bado ataendelea kuwa mshambuliaji bora kuliko wote Tanzania, hii kampeni ya simba ya kukitaka kiatu kwa njia haramu ndiyo tunaisemea! Mayele keshafanya kazi yake ya kuisaidia timu kufika fainali ya kombe la shirikisho, kaisaidia timu kutwaa ndoo ya ligi kuu, aliisaidia timu kutwaa ngao ya jamii, na anakwenda kuisaidia timu kutwaa kombe la FA na tiyali ashavaa medali ya caf, kwa maana iyo kupanga ni kuchagua kuna wanaotaka kiatu lakini awana chochote mkononi misimu 2mfululizo pia wanakuwa sahihi kwa kuwa kipaumbele chao ni kiatu but kwa mayele kiatu kitakuja tu automatic kama mungu amepanga,Kuna muda waga Unaonekana na Akili timamu ila likija swala la Yanga lazima ujichetue tu
Umepiga hesabu gani kuwa polisi ata wangeshinda walikuwa wanashuka daraja umeangalia Msimamo kweli?
Polisi angeshinda angekuwa na points 28 akiwa nafasi ya 15 na KMC angekuwa na points 29 na wote wamebakiwa na mchezo mmoja maana yake mchezo wa mwisho ndio ungeamua nani ashuke daraja na nani acheze playoff
Acha ujinga, wewe ndio waga mwana Yanga unaejitahidi kuongea facts ila unataka kuwa kama wenzio, team inaweza kununua mchezo hatukatai ila sio kwenye situation aliyonayo polisi
Na hakunaga kununua mechi eti afunge mtu mmoja tu we Umewahi kuskia wapi? Akifunga mayele ni uwezo ila wakifunga wengine wamenunua
Na kingine bado mayele ana nafasi ya kuwa mfugaji Bora NBC Kwa sababu anaongoza chart lakini pia ana mchezo mmoja ambao anaweza kucheza na mbaya zaidi sio kweli kwamba saido anaweza Kufunga kila mechi
Nikukumbushe tu hakunaga kiatu cha ufingaji Bora shirikisho hiyo inabakia sifa tu ambayo ukitaka kuijua unaenda Google kusachi, kama ilivobakia kwa Mrisho Ngasa ila hautokuja kumuona mayele ameshika kiatu cha ufingaji Bora shirikisho labda achonge mwenyewe
Paragraph ya mwisho hapooo, ndo maana nashangaa mbna huyo mayele simuoni na kiatu, hata Diarra eti kipa bora, kumbe ni Man of the match [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna muda waga Unaonekana na Akili timamu ila likija swala la Yanga lazima ujichetue tu
Umepiga hesabu gani kuwa polisi ata wangeshinda walikuwa wanashuka daraja umeangalia Msimamo kweli?
Polisi angeshinda angekuwa na points 28 akiwa nafasi ya 15 na KMC angekuwa na points 29 na wote wamebakiwa na mchezo mmoja maana yake mchezo wa mwisho ndio ungeamua nani ashuke daraja na nani acheze playoff
Acha ujinga, wewe ndio waga mwana Yanga unaejitahidi kuongea facts ila unataka kuwa kama wenzio, team inaweza kununua mchezo hatukatai ila sio kwenye situation aliyonayo polisi
Na hakunaga kununua mechi eti afunge mtu mmoja tu we Umewahi kuskia wapi? Akifunga mayele ni uwezo ila wakifunga wengine wamenunua
Na kingine bado mayele ana nafasi ya kuwa mfugaji Bora NBC Kwa sababu anaongoza chart lakini pia ana mchezo mmoja ambao anaweza kucheza na mbaya zaidi sio kweli kwamba saido anaweza Kufunga kila mechi
Nikukumbushe tu hakunaga kiatu cha ufingaji Bora shirikisho hiyo inabakia sifa tu ambayo ukitaka kuijua unaenda Google kusachi, kama ilivobakia kwa Mrisho Ngasa ila hautokuja kumuona mayele ameshika kiatu cha ufingaji Bora shirikisho labda achonge mwenyewe
Hoja ya kuchukua kiatu aiwezi kumuondolea mayele ubora na uwezo wake aliokwisha kuonyesha, achukue asichukue bado ataendelea kuwa mshambuliaji bora kuliko wote Tanzania, hii kampeni ya simba ya kukitaka kiatu kwa njia haramu ndiyo tunaisemea! Mayele keshafanya kazi yake ya kuisaidia timu kufika fainali ya kombe la shirikisho, kaisaidia timu kutwaa ndoo ya ligi kuu, aliisaidia timu kutwaa ngao ya jamii, na anakwenda kuisaidia timu kutwaa kombe la FA na tiyali ashavaa medali ya caf, kwa maana iyo kupanga ni kuchagua kuna wanaotaka kiatu lakini awana chochote mkononi misimu 2mfululizo pia wanakuwa sahihi kwa kuwa kipaumbele chao ni kiatu but kwa mayele kiatu kitakuja tu automatic kama mungu amepanga,
Kule hakuna hizo tuzo mkuu, ila siunatujua wabongo tukiamuaga kufanya kitu cha kijinga kionekane cha maanaParagraph ya mwisho hapooo, ndo maana nashangaa mbna huyo mayele simuoni na kiatu, hata Diarra eti kipa bora, kumbe ni Man of the match [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Nini mlikuwa mnamshutumu Suleiman Matola kuwa anaihujumu Simba wakati ni Simba kindaki ndaki??Kocha ni mwanachama wa utopolo kwa mapenzi yake mpaka alikuwa anakopesha timu pesa halafu ghafla ageuke Simba, jitahidini ili Ile kauli ya wenye akili yanga ni wawili ionekane uwongo
Lakini ukuzungumzia mfungaji Bora ni Nan utamtaja??Kule hakuna hizo tuzo mkuu, ila siunatujua wabongo tukiamuaga kufanya kitu cha kijinga kionekane cha maana
Mkuu mfungaji Bora wote tunamjua kuwa ni Fiston kalala mayele, Mie hoja yangu ilikuwa ni kumjibu kiongozi pale juu aliposema kiatu cha ufingaji Bora shirikisho kinatoshaLakini ukuzungumzia mfungaji Bora ni Nan utamtaja??
Picha akiwa na hicho kiatu?Polisi ata wangeshinda mechi walikuwa wanashuka daraja, kwa maana iyo biashara imefanyika maana awakuwa na cha kupoteza, mayele ashafunga hesabu zake na atocheza mechi inayofata kwa sababu tiyali mipango iliyopo ishavuja, kiatu chake cha caf kinatosha kumtofautisha na washambuliaji wote wa tanzania, anabaki kuwa mshambuliaji bora kuwai kutokea na mwenye mafanikio ya kubeba makombe
Kwa hiyo unataka kiatu au unataka kujua Nani mfungaji bora??Picha akiwa na hicho kiatu?
Kwamba bila kiatu ni sawa na mimba hewaKwa hiyo unataka kiatu au unataka kujua Nani mfungaji bora??
na atafunga tena 5 vinginevyo ukakae goliniFixed match lazima tuzungumze.
Mbona mnalalamika sana, hata mkishindwa kuwafikisha kileleni wake zenu mtasema Simba ìnahusika