Ujanja uliotumika kwa kocha wa Polisi Tanzania ndio utakaotumika kwa Coastal Union (Wanamangushi)

Kule hakuna hizo tuzo mkuu, ila siunatujua wabongo tukiamuaga kufanya kitu cha kijinga kionekane cha maana
Kwa kweliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkumbushe Ngassa aliwahi kuwafunga Kagera sugar goli 5 kwenye ushindi wa goli 8 mwaka 98 nsa job alifunga goli 5 mwaka 2009 wakati akichezea Azam kwenye ushindi wa goli 6-1, Okwi alifunga goli 5 kwenye ushindi wa goli 7-1. dhidi ya Ruvu
 
Wewe kweli kibuyu
 
Unajua Nini wewe??

Angalia gemu ya namungo vs Dodoma jijj it woz fixed game dodoma ilikua lazima washinde Namungo hakuna anachokishindania na ikawa simple kumuacha Dodoma jijj timu ya wabunge wajikongoje wasicheze play off.
Sawa,ila mechi ya jana polisi walikuwa lazima washinde ili angalau wacheze delegation,sasa nashangaa mnasema wameuza mechi how???haya na ruvu shooting waliuza..manake nao walilala.
 
za ndaani makubaliano ni kwamba simba wamekubali wafungwe na coast ili coast isiende kucheza play off ila coast wanatakiwa wampe goli 3 saidoo,

so fulltime mechi itakuwa na magoli mengi kama 3-4 au 4-5 hivi,yaani ile piga nikupige,ila za simba zitafungwa na saidoo tu....ila upande wa pili nao safari hii watu hawakubali kuna mpango kabambe unasukwa ndo maana king leo ameanza kupasha misuli moto coz yanga wanacheza na timu ambayo haina cha kupoteza ki position so kuna watu watabaki na mshangao wa karne hawataamini macho yao kuna mtu atafunga hata 9 peke yake siku iyo...KAMA MBWAI NA IWE MBAI TU,WACHA LIGI IDHALILIKE
 
Paragraph ya mwisho hapooo, ndo maana nashangaa mbna huyo mayele simuoni na kiatu, hata Diarra eti kipa bora, kumbe ni Man of the match [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee Yanga wanajua propaganda, naanza kumuelewa yule aliyesema tuache kuiongelea Yanga tunaipa tu mileage huku mitandaoni. Kumbeee shirikisho hamna kiatu cha mfungaji bora, hawa kenge walishaniuza. Kwa hiyo hii kumbukumbu inabaki tu kwenye magazeti ya udaku, daaah....
 
🤣😂🤣😂🤣 Mayele huyu huyu ambaye hata gemu za Tigo Pesa nafasi 5 anatupia 1. Labda siku hiyo tupate maana halisi ya kipa katoka.
 
Labda haujaangalia mechi toka mwanzo ila Baleke alianza akaumia.

Jamaa anaandika tuu bila ya kufatilia mambo, Baleke kacheza na huyo Kocha wa Polisi Tanzania ndio yule aliyekuwa kocha wao aliyewafanyia kazi kwa hisani enzi za msoto wao.
 
Jamaa anaandika tuu bila ya kufatilia mambo, Baleke kacheza na huyo Kocha wa Polisi Tanzania ndio yule aliyekuwa kocha wao aliyewafanyia kazi kwa hisani enzi za msoto wao.
Nadhani ulitakiwa umjibu huyo niliyemjibu mimi. Ulichoandika na mimi ndiyo nimemjibu hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…