Ujanja wa kibiashara wa Ally Sykes ulivyosaidia TANU wakati wa kudai uhuru

Ujanja wa kibiashara wa Ally Sykes ulivyosaidia TANU wakati wa kudai uhuru

Jamaa ni bonge la storyteller. Tatizo ni mfitini tu. Anachagua watua wake katika historia na kuwaandikia mazuri tu na kuwafichia mabaya, halafu wengine anawaandikia mabaya tu. Mengi anayazusha na kuchanganya na hisia zake na kaukweli kiduchu, kanakofanya naive readers kuamini kila kitu alichokiandika. Yaani ni kama alivyokuwa anafanya mzee Punch wa UDSM enzi hizo.

Shardcole,
Wewe si wa kwanza kuniita mie "story teller," ila tofauti wewe unaniita kwa kejeli
wenzako wameniita kwa heshima.

Hao waloniita hivyo si watu "naive," ni wasomi wa kuaminika na kutegemewa.
 
Hadith njoo, uongo njoo utam koleaaaaaa. Asante kwa hadith nzuri mzee mohamed

Lutayega,
Uongo ni upi.

Uongo upo katika picha nilizoweka au katika maelezo yangu kwa yale yalotokea?
Nitafurahi sana kukusikia.
 
Akili huna unaelimishwa unasema for what,,unawaza Mbege tu hapo na kisusio!

"Hata -------- akikaa kimya huonekana mwerevu"

Kwa bahati mbaya hakuna elimu yeyote hapo ila porojo na upotoshwaji....Ili unielimishe sharti uwe na Elimu sifa ambayo wewe na wenzio mmetindikiwa. Pole.
 
Kwa bahati mbaya hakuna elimu yeyote hapo ila porojo na upotoshwaji....Ili unielimishe sharti uwe na Elimu sifa ambayo wewe na wenzio mmetindikiwa. Pole.

Mkirua, Umeghadhibika.

Hata ikiwa wewe elimu yako ni kubwa kutupita sie bado unaweza kujifunza mawili matatu kutoka kwetu.

Kubwa ni kuwa nasi tungependa kufaidika na elimu yako kwa kutuandikia michango ya kuvutia.
 
Ni hadithi nzuri kama zilivyo hadithi nyingine tamu za Mohamed Said tatizo zinakosa uhalisia.

Sikubaliani na wewe kuhusu uhalisia wa habari za Mohamed Said; mimi namfahamu huyu bwana toka akisoma chuo kikuu akiwa na rafiki yake mkuu akiitwa Tamim ambae kwa sasa yuko Chuo kikuu cha kiislam Morogoro. He i s a very good historian kwani habari zake huzifanyia utafiti wa kina; tatizo lake nionavyo mimi ni pale anapoingiza religious bias katika melezo yake basi, otherwise the historical narration is factual!!!
 
Kwa bahati mbaya hakuna elimu yeyote hapo ila porojo na upotoshwaji....Ili unielimishe sharti uwe na Elimu sifa ambayo wewe na wenzio mmetindikiwa. Pole.

Sasa mkuu kwa akili yako unaweza ukamfkia mzee mohamedi Said?
 
Last edited by a moderator:
Sikubaliani na wewe kuhusu uhalisia wa habari za Mohamed Said; mimi namfahamu huyu bwana toka akisoma chuo kikuu akiwa na rafiki yake mkuu akiitwa Tamim ambae kwa sasa yuko Chuo kikuu cha kiislam Morogoro. He i s a very good historian kwani habari zake huzifanyia utafiti wa kina; tatizo lake nionavyo mimi ni pale anapoingiza religious bias katika melezo yake basi, otherwise the historical narration is factual!!!

How can you identify factual from a biased narration?
 
NAZI

Hodi mbona siwaoni, Milango haipo wazi
Au mpo masokoni, Desturi ya Uswazi
Nabisha mpaka jikoni, Mada yangu leo nazi
Nazi kweli inapendwa, Kuikuna ina kazi

Ukitaka kutafuta, Sisumbuke nenda pwani
Kila kona tazikuta, Mjini na mashambani
Zilopangwa kwa matuta, Uchague hadharani
Nazi kweli inapendwa, Kuikuna ina kazi

Usiuziwe koroma, Ndani lenye ulaini
Linolia kama ngoma, Kiligonga kubaini
Iwe ngumu kama koma, Ndio nazi ya thamani
Nazi kweli inapendwa, Kuikuna ina kazi
 
Sikubaliani na wewe kuhusu uhalisia wa habari za Mohamed Said; mimi namfahamu huyu bwana toka akisoma chuo kikuu akiwa na rafiki yake mkuu akiitwa Tamim ambae kwa sasa yuko Chuo kikuu cha kiislam Morogoro. He i s a very good historian kwani habari zake huzifanyia utafiti wa kina; tatizo lake nionavyo mimi ni pale anapoingiza religious bias katika melezo yake basi, otherwise the historical narration is factual!!!

Naona unaleta mahaba Mohamed Said ni story teller sio historian.
 
Mkuu wangu umenena vyema Mzee wetu wa Kariakoo na Tandamti ni story teller mzuri sana tatizo lake anaharibu story zake kwa kuingiza udini.

Ngongo,
This is the Kariakoo which I grew up in 1960s...I count myself lucky to have such a backdrop...

It made me what I am today.
Read on...:

I met Peter Colmore in Nairobi at his residence in Muthaiga in 1995. Muthaiga is where the rich and famous of Nairobi live. I was introduced to him by his friend, colleague and at one time business partner, Ally Kleist Sykes.

The Sykes need no introduction to many in Tanzania, their father, Kleist was the ones who founded the African Association in 1929 and his sons spearhead the struggle for independence during the 1950s.

I was at that time writing ''Under the Shadow of British Colonialism The Life of Ally Kleist Sykes (1926 - 2013).''
I went to Nairobi to interview Peter Colmore.

Since that meeting we striked a friendship of sorts and whenever I was in Nairobi I would call him to say hello and he in turn would invite me to his club, Muthaiga Country Club and there in the lawn we would sit sipping coffee and he would reminiscent of his days in 1950s as a young man living both in Moshi, Dare es Salaam and Nairobi.

The first time for me to set foot in Muthaiga was 1989.

I was in Nairobi for a conference and was staying at the 680 Hotel. It happened that Ally Sykes was also in town and was lodging at the Muthaiga Club.

It was evening and I took a taxi asking the driver to take me to Muthaiga Club. The taxi driver asked what my business at Muthaiga Club was. I told him I was going to see my father who was staying there.

The taxi driver seemed flabbergasted and he asked me again seeming surprised, "Muzee yako anakaa Muthaiga?"

Meaning is your old man staying at Muthaiga? I said, "Yes that is where he stays wherever is in town." He did not add another word. I later came to know why the taxi driver had put me in that interrogation.

Muthaiga Club was for the filthy rich. Club members age range between 60 years and 80 and most of them Whites the Black person one sees there is a servant.

Ngongo,
I had known both Ally Sykes and Peter Colmore when I was very young. We were at that time living in Lindi Street near International Hotel, the hotel still exists today although the house which my father was renting is no longer there its place has been taken by a high rise building.

Peter Colmore and Ally Sykes had their office just across our house and Peter Colmore whenever when he was in Dar es Salaam he would stay at the International Hotel Annex where he had a permanent room with a placard on the door carrying his name.

I had ventured inside the Annex and it was there that I saw the placard.

This was in early 1960s. In those days Peter Colmore's name was always in the air waves as promoter and advertiser of many products through his company High Fidelity Productions.

One thing I remember up to now is that the first time I saw an air conditioner was at Ally Sykes office. But what fascinated me more was the reel to reel tape deck which played soft music the whole day through.

It was an office fit for a ''Mzungu.''

Ngongo,
Nadhani umeona faida ya kuzaliwa Kariakoo na Tandamti tena na watu hawa na katika kipindi kile.
Nimejua mengi.

Sikupatapo kuwa mshamba katika maisha yangu yote na kustaajabishwa na chochote kote duniani
nilikotia mguu wangu.

Ukariakoo na Utandamti umenifunza mengi, mengi sana.
 
SoNotorious,
Umenita ''ka.''

Nakuwekea hii picha ya ujana wangu uniangalie kama ''ka'' inanienea.

20140129_142431.jpg

Mimi ni huyo mkono wa kulia.

Nilipokuwa mtoto ''ambition'' yangu ilikuwa nicheze mpira Sunderland (sasa
Simba) kisha nicheze team ya taifa.

Haikuwa.

Niliishia mchangani.

Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, Jangwani, Uwanja wa Polisi Oyster Bay
na kwengineko.

Wenzangu wengi walikwenda mbele wengine Cosmo, Yanga na Sunderland
hadi timu ya taifa mie nikabaki kuwa ''bookworm,'' na wakinitania kwa hilo la
kupenda ''kusomasoma.''

Wamanyema Allah katupendelea katupa miili mikubwa kiasi Mmanyema tusi lake
kubwa ukimuudhi na wewe si Mmanyema atakuita, ''Kinyangarakata,'' yaani
''Kijitu.''

Mimi si ''ki'' wala si ''ka.''
Kuwa na adab kidogo tu.

Naamini umejielewa.
Una ubavu wa kuweka picha yako?

Hii picha hapo chini nilipokuwa na mwaka mmoja.

20140129_133419.jpg

Picha hii ilipigwa studio ya Mzee Shebe Mtaa wa Livingstone na Kipata, 1952/53.

Huyu Mzee Shebe akajakuwa mpiga picha wa TANU na Nyerere katika miaka hiyo
ya kupigania uhuru.

SoNotorious,
Hapo chini ndivyo nilivyo hivi sasa.

Picha hii nimepiga New York, Harlem 125th Street.
Hii ndiyo ilikuwa mitaa ya Malcolm X wakati wa enzi zake katika 1960s.

SAM_1480.JPG

JF ni mahali pa kubadilishana fikra si mahali pa matusi na ushenzi.
Hapa ni mahali watu mnashindana kwa hoja katika njia za kiustaarabu.

Hapa si mahali pa kuonyeshana nani hodari wa kejeli na mengine yasiyo
na maana.

Naamini wewe na wengine mfano wa wewe mtabadilka na tutakuwa
katika mijadala kwa ustaarabu, adabu na heshima.
 
Mzee Mohamed Said hiyo ka sikuwa na maana mbaya maana yangu ni kuwa maandiko yako yanatakuwa kuwa neglected kwa umri wako huwezi kufikiri sawa sawa, unaongozwa na hisia na mihemko zaidi.
 
Mzee Mohamed Said hiyo ka sikuwa na maana mbaya maana yangu ni kuwa maandiko yako yanatakuwa kuwa neglected kwa umri wako huwezi kufikiri sawa sawa, unaongozwa na hisia na mihemko zaidi.

SoNotorious,
Sitorudia kukuambia kuwa umenitukana.

Ikiwa maandiko yangu yanatakiwa ''kupuuzwa'' wewe hukufanya hivyo.

Ikiwa mimi ''siwezi kufikiri sawasawa,'' ungelisema hivyo na hilo si tusi
ningekujibu kwa ushahidi kuwa mimi akili zangu ni timamu sana Alhamdulilah
na ningekupa ushahidi wa hilo.

Ingekuwa mimi naongozwa na ''hisia na mihemko,'' ningekukatalia na ningekupa
pia ushahidi kuwa hapa JF sijatukana mtu zaidi kila nikiingia katika mjadala
maelfu ya watu wanakuja kunisoma.

Chunguza.

Kubwa zaidi ni kuwa maadam wewe unanitambua kuwa mimi ni mzee basi
ulitakiwa uzungumze na mimi kama unazungumza na mtu aliyekupita makamu.

Kijana yeyote aliyefunzwa adabu hilo analijua.

Mwisho.

Nadhani utakuwa umeona sikugusa maneno yako ulipohusisha ulevi na Qur'an.
Nimeacha makusudi kwa kukuonea huruma kwa ujahil (ujinga).

Qur'an si kitu cha kukifanyia maskhara.
Sisi tufanye mjadala huko ulikogusa hakufai wala hapa si mahala pake kabisa.
 
Mzee Mohamed Said hiyo ka sikuwa na maana mbaya maana yangu ni kuwa maandiko yako yanatakuwa kuwa neglected kwa umri wako huwezi kufikiri sawa sawa, unaongozwa na hisia na mihemko zaidi.

SoNotorious

Hivi wewe unaweza kumuita Baba yako aliyekuzaa kwa kuanzia na Ka? Usijifanye upofu na wala huna unayemzuga hapa. Ila ndo malezi yenu na mmetengenezwa/mmelelewa kukutusi sisi na wazee wetu. Angekuwa ni wa upande wako usingethubutu kusema hayo maneno. Kwa taarifa yako mimi mpaka leo hii nikiwa ndani ya daladala nikimuona mtu mzima/mzee nampisha akae yeye, bila kujali amevaaje(kavaa kanzu au suti?), rangi yake au anaongea kiswahili cha wapi. Al muhim ni mzee nitampisha.

Samahani Maalim Mohamed Said kwa kuingilia kati hapa. Ila nina furaha kupata bayana zako, nami najaiona mwenye bahati kuweza kupata hekma na busara zako.
Waache wajifanye/watafanya nini?
Waache watutukane/watatutukana mpaka lini?
Waache wawe/na wawe na wawe
Ilhali mwishowe sote tutazikwa chini.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom