Ujanja wa kibiashara wa Ally Sykes ulivyosaidia TANU wakati wa kudai uhuru

Ujanja wa kibiashara wa Ally Sykes ulivyosaidia TANU wakati wa kudai uhuru

SoNotorious
Hivi wewe unaweza kumuita Baba yako aliyekuzaa kwa kuanzia na Ka? Usijifanye upofu na wala huna unayemzuga hapa. Ila ndo malezi yenu na mmetengenezwa/mmelelewa kukutusi sisi na wazee wetu. Angekuwa ni wa upande wako usingethubutu kusema hayo maneno. Kwa taarifa yako mimi mpaka leo hii nikiwa ndani ya daladala nikimuona mtu mzima/mzee nampisha akae yeye, bila kujali amevaaje(kavaa kanzu au suti?), rangi yake au anaongea kiswahili cha wapi. Al muhim ni mzee nitampisha.
Samahani Maalim Mohamed Said kwa kuingilia kati hapa. Ila nina furaha kupata bayana zako, nami najaiona mwenye bahati kuweza kupata hekma na busara zako.
Waache wajifanye/watafanya nini?
Waache watutukane/watatutukana mpaka lini?
Waache wawe/na wawe na wawe
Ilhali mwishowe sote tutazikwa chini.



Sent from my iPhone using JamiiForums

Jumababu,
Nakushukuru kwa kunisaidia kumrekebisha mwanajamvi mwenzetu.

Wala huna haja ya kunitaka radhi kwani ulofanya ni wajibu wako wa sawa
kabisa.

Naamini kaelewa na keshajua kuwa mjadala watu mnajadili na hamkubaliani
lakini hatoki mtu akamtukana mwenzake kwa kuwa tu hoja zao zimepishana.

Mjadala wa waungwana haumalizikii kwa matusi.

Ahsante sana ndugu yangu.
 
Mkirua unazungumza ilm usiyoijua.
Kufanya hivyo si busara kwani inadhihirisha ujinga alokuwanao mtu.

Hizo za Mtume Salallahu Aleihi Wasalaam si hadith kwa maana unayodhani wewe.
Ukipenda kujua zaidi In Sha Allah tufahamishe.

Wako wajuzi hapa jamvini watatoa darsa In Sha Allah.

Hata kama natofautiana na baadhi ya hoja zako lakini ww mzee una majibu ya hekima nyingi pia lako ni darasa la dezo
 
Back
Top Bottom