Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Jamaa ni bonge la storyteller. Tatizo ni mfitini tu. Anachagua watua wake katika historia na kuwaandikia mazuri tu na kuwafichia mabaya, halafu wengine anawaandikia mabaya tu. Mengi anayazusha na kuchanganya na hisia zake na kaukweli kiduchu, kanakofanya naive readers kuamini kila kitu alichokiandika. Yaani ni kama alivyokuwa anafanya mzee Punch wa UDSM enzi hizo.
For what??
Hadith njoo, uongo njoo utam koleaaaaaa. Asante kwa hadith nzuri mzee mohamed
Akili huna unaelimishwa unasema for what,,unawaza Mbege tu hapo na kisusio!
"Hata -------- akikaa kimya huonekana mwerevu"
Kwa bahati mbaya hakuna elimu yeyote hapo ila porojo na upotoshwaji....Ili unielimishe sharti uwe na Elimu sifa ambayo wewe na wenzio mmetindikiwa. Pole.
Ni hadithi nzuri kama zilivyo hadithi nyingine tamu za Mohamed Said tatizo zinakosa uhalisia.
Kwa bahati mbaya hakuna elimu yeyote hapo ila porojo na upotoshwaji....Ili unielimishe sharti uwe na Elimu sifa ambayo wewe na wenzio mmetindikiwa. Pole.
Sikubaliani na wewe kuhusu uhalisia wa habari za Mohamed Said; mimi namfahamu huyu bwana toka akisoma chuo kikuu akiwa na rafiki yake mkuu akiitwa Tamim ambae kwa sasa yuko Chuo kikuu cha kiislam Morogoro. He i s a very good historian kwani habari zake huzifanyia utafiti wa kina; tatizo lake nionavyo mimi ni pale anapoingiza religious bias katika melezo yake basi, otherwise the historical narration is factual!!!
How can you identify factual from a biased narration?
Sikubaliani na wewe kuhusu uhalisia wa habari za Mohamed Said; mimi namfahamu huyu bwana toka akisoma chuo kikuu akiwa na rafiki yake mkuu akiitwa Tamim ambae kwa sasa yuko Chuo kikuu cha kiislam Morogoro. He i s a very good historian kwani habari zake huzifanyia utafiti wa kina; tatizo lake nionavyo mimi ni pale anapoingiza religious bias katika melezo yake basi, otherwise the historical narration is factual!!!
Naona unaleta mahaba Mohamed Said ni story teller sio historian.
Mkuu wangu umenena vyema Mzee wetu wa Kariakoo na Tandamti ni story teller mzuri sana tatizo lake anaharibu story zake kwa kuingiza udini.
SoNotorious,
Umenita ''ka.''
Nakuwekea hii picha ya ujana wangu uniangalie kama ''ka'' inanienea.
Mimi ni huyo mkono wa kulia.
Nilipokuwa mtoto ''ambition'' yangu ilikuwa nicheze mpira Sunderland (sasa
Simba) kisha nicheze team ya taifa.
Haikuwa.
Niliishia mchangani.
Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, Jangwani, Uwanja wa Polisi Oyster Bay
na kwengineko.
Wenzangu wengi walikwenda mbele wengine Cosmo, Yanga na Sunderland
hadi timu ya taifa mie nikabaki kuwa ''bookworm,'' na wakinitania kwa hilo la
kupenda ''kusomasoma.''
Wamanyema Allah katupendelea katupa miili mikubwa kiasi Mmanyema tusi lake
kubwa ukimuudhi na wewe si Mmanyema atakuita, ''Kinyangarakata,'' yaani
''Kijitu.''
Mimi si ''ki'' wala si ''ka.''
Kuwa na adab kidogo tu.
Naamini umejielewa.
Una ubavu wa kuweka picha yako?
Hii picha hapo chini nilipokuwa na mwaka mmoja.
Picha hii ilipigwa studio ya Mzee Shebe Mtaa wa Livingstone na Kipata, 1952/53.
Huyu Mzee Shebe akajakuwa mpiga picha wa TANU na Nyerere katika miaka hiyo
ya kupigania uhuru.
SoNotorious,
Hapo chini ndivyo nilivyo hivi sasa.
Picha hii nimepiga New York, Harlem 125th Street.
Hii ndiyo ilikuwa mitaa ya Malcolm X wakati wa enzi zake katika 1960s.
JF ni mahali pa kubadilishana fikra si mahali pa matusi na ushenzi.
Hapa ni mahali watu mnashindana kwa hoja katika njia za kiustaarabu.
Hapa si mahali pa kuonyeshana nani hodari wa kejeli na mengine yasiyo
na maana.
Naamini wewe na wengine mfano wa wewe mtabadilka na tutakuwa
katika mijadala kwa ustaarabu, adabu na heshima.
Mzee Mohamed Said hiyo ka sikuwa na maana mbaya maana yangu ni kuwa maandiko yako yanatakuwa kuwa neglected kwa umri wako huwezi kufikiri sawa sawa, unaongozwa na hisia na mihemko zaidi.
Mzee Mohamed Said hiyo ka sikuwa na maana mbaya maana yangu ni kuwa maandiko yako yanatakuwa kuwa neglected kwa umri wako huwezi kufikiri sawa sawa, unaongozwa na hisia na mihemko zaidi.