Ujasiri huu si wa nchi hii.

Kumbe mnafaham kua maisha yamebadilika,mbona wenzio wanajitoa ufahamu,hawajui lolote,wao ni mizinga kwa kwenda mbele,
Inategeme anakuchukuliaje kama anakuchukulia kama buzi ndio kama hivyo lazima upigwe mizinga kwa kwenda mbele ila anayekupenda hawezi kukufanyia hivyo
 
Inategeme anakuchukuliaje kama anakuchukulia kama buzi ndio kama hivyo lazima upigwe mizinga kwa kwenda mbele ila anayekupenda hawezi kukufanyia hivyo
Nikweli,..asiekupenda kweli lazma akupige,namiii nshawajua,nikiliona tuu omba omba namii nalipiga naliacha
 
Huo ndio ukweli mkuu kwahiyo unatakiwa tu uwe makini kwenye chaguo zako
Ishu ya chaguo nayo ni ishu nyingne,..mi napataga sana tatzo hlo la kupigwa vizinga,had sometime naamua nijiweke kando,yaan tokea niachane na dem wangu niliedum nae for 4yrs,hawa wanaokuja niweng lakin sjaona bado,woote mwisho wa siku ni kuomba helaaaa tuu,yaan atakuvumilia kutega mwanzon ila ipo siku tuu utaskia kibomu ,na wanajua kweli,..yaan kuna msg ukiiona tuu ujue mwisho wa siku huyu lazma atakupiga kibomu
 
Hujatatua tatizo hapo, umejiongezea hatari mbele yako...!!!
Wanawake hawaeleweki, usije ukadhani wanakuelewa....wameumbwa kukutoboa pesa
Af hawana huruma,uzur wake nin,nishawajua tayar yaan nkionaga tuu ni omba omba bas naendelea kula huku namtaftia mwenzie af baadae napiga chin,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…