Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Inategeme anakuchukuliaje kama anakuchukulia kama buzi ndio kama hivyo lazima upigwe mizinga kwa kwenda mbele ila anayekupenda hawezi kukufanyia hivyoKumbe mnafaham kua maisha yamebadilika,mbona wenzio wanajitoa ufahamu,hawajui lolote,wao ni mizinga kwa kwenda mbele,