GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Teh tehKila alipokuwa akipelekewa Mic na Waandishi wa Habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri na kama ni mapungufu ni ya Kawaida sana ila nilipenda na ameshawashinda mpaka Wasomi Wetu Wakubwa tulionao nchini Tanzania.
Yule PhD Holder wenu mwana Mama ambaye alishawahi kuwa Waziri wa Education Docket kutokea kwa Watani zangu Washamba wa Kigoma.Teh teh
Mkuu kawazidi wasomi gani wa kwetu
Ova
Teh tehYule PhD Holder wenu mwana Mama ambaye alishawahi kuwa Waziri wa Education Docket kutokea kwa Watani zangu Washamba wa Kigoma.
Miss Akichware?Yule PhD Holder wenu mwana Mama ambaye alishawahi kuwa Waziri wa Education Docket kutokea kwa Watani zangu Washamba wa Kigoma.
Yaani na usomi wako unaamini ilo. Mental slave Ni real uisha muona China president,Russian , German,franch wanaongea English kweli.Kila alipokuwa akipelekewa Mic na Waandishi wa Habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri na kama ni mapungufu ni ya Kawaida sana ila nilipenda na ameshawashinda mpaka Wasomi Wetu Wakubwa tulionao nchini Tanzania.
Usinikumbe yule msomi marehemu mwenye PhD yake.Kila alipokuwa akipelekewa Mic na Waandishi wa Habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri na kama ni mapungufu ni ya Kawaida sana ila nilipenda na ameshawashinda mpaka Wasomi Wetu Wakubwa tulionao nchini Tanzania.
Kama Le Profesali NABI?unaweza ukawa msomi ila hujawahi kusoma kiingereza
yeah na wengineo walioishi nchi ambazo hawafundishi kwa kiingerezaKama Le Profesali NABI?
Vua chupi, bukta, suruali, singland, soksi, viatu, shati, handkerchief, kofia, acha kutumia simu n.k ubakie hivyo au uvae kanga za urafiki ndo hutokuwa na mentality ya utumwa tena uanze kutembea kwa miguu usipande aina yoyote ya usafiri maana vyote vimetengenezwa nje ya nchi labda utumie ungo wa bibi au NGONGONGOWachina , wajerumani,wataliano,wafaransa na wajapan mbona hawana mentality kama zetu.
Au ndio utumwa bado umewajaa watu vichwani.