MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Weka video tuone acha janja janja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka video tuone acha janja janja
Sio utumwa lugha inayotumika kufundishia ni kiingereza hao unaowasema wanafundishia lugha za kwao na si kiingereza wabadili lugha ya kufundishia iwe kiswahili uone Kama watu watajali hicho kizungu Kama hukijui usiwaambie watu colonial mentalityWachina , wajerumani,wataliano,wafaransa na wajapan mbona hawana mentality kama zetu.
Au ndio utumwa bado umewajaa watu vichwani.
HahahahaaaKiingereza cha kuongea jamani siyo chetu bongo.Tena mbele ya kamera!
Akivaa kanga atasalimika kweli na huo msambwanda wake?Vua chupi, bukta, suruali, singland, soksi, viatu, shati, handkerchief, kofia, acha kutumia simu n.k ubakie hivyo au uvae kanga za urafiki ndo hutokuwa na mentality ya utumwa tena uanze kutembea kwa miguu usipande aina yoyote ya usafiri maana vyote vimetengenezwa nje ya nchi labda utumie ungo wa bibi au NGONGONGO
Kweli aweke video tuoneWeka video tuone acha janja janja
Kiswahili na Kiingereza ni lugha rasmi ndani ya taifa la Tanzania.Wachina , wajerumani,wataliano,wafaransa na wajapan mbona hawana mentality kama zetu.
Au ndio utumwa bado umewajaa watu vichwani.
MwendazakeTeh teh
Mkuu kawazidi wasomi gani wa kwetu
Ova
Kiingereza ndio akili ama haiba?Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila nilipenda na ameshawashinda mpaka wasomi wetu wakubwa tulionao nchini Tanzania.
Kutokujua kingereza hakumuondolei Msomi usomi wake, Zaidi tu ni kua kingereza sio lugha yakeKila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila nilipenda na ameshawashinda mpaka wasomi wetu wakubwa tulionao nchini Tanzania.
Mkuu si uwe muwazi tu umtaje Joyce Ndalichako.... Yule mama hawezi kuongea kiingereza na Mgunda akamaliza sekunde 45 bila kutaja ze... Ze.... Ze..... ZeYule PhD Holder wenu mwana Mama ambaye alishawahi kuwa Waziri wa Education Docket kutokea kwa Watani zangu Washamba wa Kigoma.
Ndo aiite timu He na him?Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila nilipenda na ameshawashinda mpaka wasomi wetu wakubwa tulionao nchini Tanzania.
Ndo aiite timu He na him?
Naona upo kwenye heat period unatafuta wa kukupanda hapa JF.Akivaa kanga atasalimika kweli na huo msambwanda wake?
Acha hasira bibie vaa kanga moko tu.Sisi wenye weledi kwenye mambo hayo tupo active.Naona upo kwenye heat period unatafuta wa kukupanda hapa JF.
Mse.nge wewe.Acha hasira bibie vaa kanga moko tu.Sisi wenye weledi kwenye mambo hayo tupo active.
Ww chakla chaklaMse.nge wewe.