Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
RIP PHD
Pipo uzdi tu dai ini e reki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pipo uzdi tu dai ini e reki
Mse.nge wewe.Ww chakla chakla
Kwa nini tushabikie ujuzi wa Kimombo na si ufundishaji wa mpira? Kwenye PL ya Uingereza kwenyewe tunawasikia makocha wasiokuwa Waingereza wakibabaisha lugha. Lakini hakuna mtu anayejali mradi tu timu yake imefanya vizuri. Sasa sisi tunaweka kipaumbele kwenye lugha ambayo wala siyo yetu! Tuachane na mawazo hayo. Tukazie kumuelewa kocha kwa mchezaji. Fikiria kocha anakimanya Kimombo lakini mchezaji hajui hiyo lugha.Matokeo yake nini?Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila nilipenda na ameshawashinda mpaka wasomi wetu wakubwa tulionao nchini Tanzania.
Hao uliowataja wanasoma kwa lugha zao sio ajabu kushindwa kuongea kingereza sisi hatuna hio excuse sababu tunakisoma shuleni na mitihani tuna faulu unless kuna ujanja ujanja kwenye elimu yetuWachina , wajerumani,wataliano,wafaransa na wajapan mbona hawana mentality kama zetu.
Au ndio utumwa bado umewajaa watu vichwani.