Ujasiri wa Kocha Juma Mgunda Kuongea Kingereza unawazidi hata wasomi wakubwa nchini

Wachina , wajerumani,wataliano,wafaransa na wajapan mbona hawana mentality kama zetu.

Au ndio utumwa bado umewajaa watu vichwani.
Sio utumwa lugha inayotumika kufundishia ni kiingereza hao unaowasema wanafundishia lugha za kwao na si kiingereza wabadili lugha ya kufundishia iwe kiswahili uone Kama watu watajali hicho kizungu Kama hukijui usiwaambie watu colonial mentality
 
Akivaa kanga atasalimika kweli na huo msambwanda wake?
 
Wachina , wajerumani,wataliano,wafaransa na wajapan mbona hawana mentality kama zetu.

Au ndio utumwa bado umewajaa watu vichwani.
Kiswahili na Kiingereza ni lugha rasmi ndani ya taifa la Tanzania.
Kama anatokea mtu kutojua akubali tu kuwa ana udhaifu hasa kwa wale waliobahatika kwenda shule.
Tuache kutetea ujinga na ukhanithi.
 
Ni kweli kabisa ila kuna Watu Nongwa ni sehemu katika maisha yao..!
 
Kiingereza ndio akili ama haiba?
 
Kutokujua kingereza hakumuondolei Msomi usomi wake, Zaidi tu ni kua kingereza sio lugha yake
 
Yule PhD Holder wenu mwana Mama ambaye alishawahi kuwa Waziri wa Education Docket kutokea kwa Watani zangu Washamba wa Kigoma.
Mkuu si uwe muwazi tu umtaje Joyce Ndalichako.... Yule mama hawezi kuongea kiingereza na Mgunda akamaliza sekunde 45 bila kutaja ze... Ze.... Ze..... Ze
 
Ndo aiite timu He na him?
 
Yaan hata mimi nilkuwa nashangaa anavyokuwa mchangamfu kwenye kupiga kidhungu au alikuwa kapiga k vant

Maana hata watangazaji wa azam tv huwa hawatabasam hivyo wakati wakiwa wanaongea kiingereza
 
Ndo aiite timu He na him?

Pembeni yake yupo kocha Kalisto Pasuwa, hivyo Juma Ramadhani Mgunda kwa wakati mmoja akijibu alikuwa akiizungumzia timu ya Nyasa Big Bullets na respect kwa kocha wa Nyasa Big Bullets Kalisto Pasuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…