Ujasiri wa Kocha Juma Mgunda Kuongea Kingereza unawazidi hata wasomi wakubwa nchini

Kwa nini tushabikie ujuzi wa Kimombo na si ufundishaji wa mpira? Kwenye PL ya Uingereza kwenyewe tunawasikia makocha wasiokuwa Waingereza wakibabaisha lugha. Lakini hakuna mtu anayejali mradi tu timu yake imefanya vizuri. Sasa sisi tunaweka kipaumbele kwenye lugha ambayo wala siyo yetu! Tuachane na mawazo hayo. Tukazie kumuelewa kocha kwa mchezaji. Fikiria kocha anakimanya Kimombo lakini mchezaji hajui hiyo lugha.Matokeo yake nini?
 
Wachina , wajerumani,wataliano,wafaransa na wajapan mbona hawana mentality kama zetu.

Au ndio utumwa bado umewajaa watu vichwani.
Hao uliowataja wanasoma kwa lugha zao sio ajabu kushindwa kuongea kingereza sisi hatuna hio excuse sababu tunakisoma shuleni na mitihani tuna faulu unless kuna ujanja ujanja kwenye elimu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…