Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Naunga mkono hoja
P
P
Unawajua hao ndugu zake wanaokufa au kama kawaida umejibu kama watanzania walio wengi wanvyojibu kama hawana vichwawanakufa na magonjwa mengine kama Ukimwi,nakadhalika
Hayatangazwi kama hushuguliki kuyajua hutayajua. Data inakusanywa kila anayefiwa anatuma kwa "wahusika"
Kwa taarifa yako kwa kipindi hiki hakuna wagonjwa walio imara kama wa UKIMWI kama wanatumia ARV kama inavyotakiwa. Yaani wanaopata shida ni wenye sukari kwa kuwa anakuwa kama kila kitu kimekufa na wenye pressure kwa kuwa virus vikiingia white blood cells zibnapambana inasababusha blood clots uchukue muda aisee.wanakufa na magonjwa mengine kama Ukimwi,nakadhalika
Mbona wewe hujafa?Wekati nyie mnatengenezewa mazingira ya "kufeni tu" mwenzenu kajificha Chato manake anafahamu akiwa Dar es salaam atalazimika kukutana na wageni mbalimbali na kumweka kwenye risk ambayo hajali nyie kuwa nayo lakini bado mnashangilia kama mazuzu
Pole sanaMimi nazika ndugu zangu kila siku ujasiri upi?Usinichefue kabisa
Hatujabarikiwa tusidhurike,tumelaaniwa kuwabeza waliofiwa na kuficha taarifa
Hali mbaya zaidi Kenya,lakini wamefungua watu wao.Hali mbaya US wamefungua watu wao.Mleta hoja sijui kama unajitambua sawasawa!
hebu kabla hujaandika acha mihemko na utizame namna watu wanavyoteketea kwa COVID 19
bado hali ni mbaya ila nashangaa watu mnajifanya hamuoni!