Ujasiri wa Yezebeli kupaka wanja na kujipamba baada ya kupata habari za uhaini, aliutoa wapi?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam, Shalom!

Mnasema wanaume ni majasiri, kuna mwanamke mmoja aliishangaza Dunia.

Mchawi huyu alikuwa mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa mchawi sugu, alikuwa amemtia limbwata mfalme,

Mchawi huyu akauwa manabii wote nchini pake manabii wa Mungu aliye hai, waliopona kuuwawa walifichwa mapangoni huko.

Sasa Yehu mwana wa manabii akapata unabii kwamba aende kuutwaa ufalme wa Ahabu MUME wa Yezebel ambao ulikuwa chini ya mwanaye wa kiume Yoramu, baada ya Ahabu kufa.

(2 Kings 9:22,30,35-37)

22: Ikawa, Yoramu alipomwona Yehu,akasema, je ni Amani Yehu?
Akajibu, Amani gani,maadamu uzinzi wa mama yako Yezebeli na uchawi wake ni mwingi?

23: Yoramu akageuza mikono yake, akakimbia, akamwambia Ahazia, Ni uhaini, Ahazia.

30: Hata Yehu alipofika Yezreel, Yezebeli akapata habari, akatia uwanja machoni mwake,akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani.

35: Wakaenda Ili kumzika, lakini hawakuona kitu ila kifuvu Cha kichwa chake,na miguu yake,, na vitanga vya mikono yake.

36: Hili ndilo Neno la BWANA alilolinena kwa kinywa Cha mtumishi wake Eliya, Mtishbi, kusema, Katika kiwanja Cha Yezreel mbwa wataila nyama ya Yezebeli.

Nawauliza wanawake, ujasiri wa Yezebel kujipaka wanja na kutia wigi Ili kumtega na kumroga Yehu Jemedari wa Jeshi, shujaa, ashindwe kutimiza kusudi la kumuondosha Yezebeli, ujasiri huo aliutoa wapi?

Karibuni 🙏
 
Tukiachana na Yezebeli
bado mwanamke ni kiumbe kingine mkuu,
Waliopona ni wachache Sana na watakaopona ni wachache sana

Yehu alipona tu siku hiyo kwa ajili ya unabii ,

Huyu Yezebeli alimsumbua nabii Eliya aliyeshusha Moto MBINGUNI muda Sana kiasi Nabii akatamani kufa .

Moja ya roho yenye nguvu kubwa ya upotevu ni Yezebeli, imeangusha wanaume wenye nguvu zao Hadi watumishi wa Mungu

Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.

Ufunuo wa Yohana 2:20
 
Samsoni na nguvu zake,

Alipomwona mwanamke mchawi kutoka kwa maadui, ndio ukawa mwisho wake,

Silaha yao kuu ni mapambo, mavazi ya kikahaba, mawigi kuteka nafsi za wanaume Kisha kuwatumbukiza ktk shimmo refu ,gereza lisokuwa na mwisho liitwalo kuzimu 🤔
 
Yaani Yezebeli anaambiwa getini kuna uhaini, maadui wamevamia, wanaua walinzi wako,

Yeye hata haogopi,

Akaenda kwa kioo, Katika wanja, kavaa wigi, kaweka kucha bandia, Katika marashi Ili kumtega Jemedari wa waasi asimuangamize!

Kumbe mapambo ni aina mojawapo ya mbinu ya kichawi!
 
Mwanamke ni kiumbe pekee aliyepiga stori na Shetani na hakumuogopa

Wewe na kimkia chako inchi 8< ndio umtishe? Ajabu
 
SI wote wenye shina la UOVU.

Wapo wanawake wema wengi sana.
 
Salaam, Shalom!

Mnasema wanaume ni majasiri, kuna mwanamke mmoja aliishangaza Dunia.

Mchawi huyu alikuwa mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa mchawi sugu, alikuwa amemtia limbwata mfalme,

Mchawi huyu akauwa manabii wote nchini pake manabii wa Mungu aliye hai, waliopona kuuwawa walifichwa mapangoni huko.

Sasa Yehu mwana wa manabii akapata unabii kwamba aende kuutwaa ufalme wa Ahabu MUME wa Yezebel ambao ulikuwa chini ya mwanaye wa kiume Yoramu, baada ya Ahabu kufa.

(2 Kings 9:22,30,35-37)

22: Ikawa, Yoramu alipomwona Yehu,akasema, je ni Amani Yehu?
Akajibu, Amani gani,maadamu uzinzi wa mama yako Yezebeli na uchawi wake ni mwingi?

23: Yoramu akageuza mikono yake, akakimbia, akamwambia Ahazia, Ni uhaini, Ahazia.

30: Hata Yehu alipofika Yezreel, Yezebeli akapata habari, akatia uwanja machoni mwake,akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani.

35: Wakaenda Ili kumzika, lakini hawakuona kitu ila kifuvu Cha kichwa chake,na miguu yake,, na vitanga vya mikono yake.

36: Hili ndilo Neno la BWANA alilolinena kwa kinywa Cha mtumishi wake Eliya, Mtishbi, kusema, Katika kiwanja Cha Yezreel mbwa wataila nyama ya Yezebeli.

Nawauliza wanawake, ujasiri wa Yezebel kujipaka wanja na kutia wigi Ili kumtega na kumroga Yehu Jemedari wa Jeshi, shujaa, ashindwe kutimiza kusudi la kumuondosha Yezebeli, ujasiri huo aliutoa wapi?

Karibuni 🙏
MamaSamia2025 unasimangwa hukuuuuuu
 
db77787c-3b41-4ffd-951a-2a9013027b7b.jpeg
 
Back
Top Bottom