Samsoni na nguvu zake,Tukiachana na Yezebeli
bado mwanamke ni kiumbe kingine mkuu,
Waliopona ni wachache Sana na watakaopona ni wachache sana
Yehu alipona tu siku hiyo kwa ajili ya unabii ,
Huyu Yezebeli alimsumbua nabii Eliya aliyeshusha Moto MBINGUNI muda Sana kiasi Nabii akatamani kufa .
Moja ya roho yenye nguvu kubwa ya upotevu ni Yezebeli, imeangusha wanaume wenye nguvu zao Hadi watumishi wa Mungu
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
Ufunuo wa Yohana 2:20
SI wote wenye shina la UOVU.Mwanamke ni kiumbe pekee aliyepiga stori na Shetani na hakumuogopa
Wewe na kimkia chako inchi 8< ndio umtishe? Ajabu
MamaSamia2025 unasimangwa hukuuuuuuSalaam, Shalom!
Mnasema wanaume ni majasiri, kuna mwanamke mmoja aliishangaza Dunia.
Mchawi huyu alikuwa mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa mchawi sugu, alikuwa amemtia limbwata mfalme,
Mchawi huyu akauwa manabii wote nchini pake manabii wa Mungu aliye hai, waliopona kuuwawa walifichwa mapangoni huko.
Sasa Yehu mwana wa manabii akapata unabii kwamba aende kuutwaa ufalme wa Ahabu MUME wa Yezebel ambao ulikuwa chini ya mwanaye wa kiume Yoramu, baada ya Ahabu kufa.
(2 Kings 9:22,30,35-37)
22: Ikawa, Yoramu alipomwona Yehu,akasema, je ni Amani Yehu?
Akajibu, Amani gani,maadamu uzinzi wa mama yako Yezebeli na uchawi wake ni mwingi?
23: Yoramu akageuza mikono yake, akakimbia, akamwambia Ahazia, Ni uhaini, Ahazia.
30: Hata Yehu alipofika Yezreel, Yezebeli akapata habari, akatia uwanja machoni mwake,akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani.
35: Wakaenda Ili kumzika, lakini hawakuona kitu ila kifuvu Cha kichwa chake,na miguu yake,, na vitanga vya mikono yake.
36: Hili ndilo Neno la BWANA alilolinena kwa kinywa Cha mtumishi wake Eliya, Mtishbi, kusema, Katika kiwanja Cha Yezreel mbwa wataila nyama ya Yezebeli.
Nawauliza wanawake, ujasiri wa Yezebel kujipaka wanja na kutia wigi Ili kumtega na kumroga Yehu Jemedari wa Jeshi, shujaa, ashindwe kutimiza kusudi la kumuondosha Yezebeli, ujasiri huo aliutoa wapi?
Karibuni 🙏
Kumbe ametajwa kwenye mada sio?MamaSamia2025 unasimangwa hukuuuuuu
Wema wao ni wa nadhariaSI wote wenye shina la UOVU.
Wapo wanawake wema wengi sana.
Salaam, Shalom!
Mnasema wanaume ni majasiri, kuna mwanamke mmoja aliishangaza Dunia.
Mchawi huyu alikuwa mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa mchawi sugu, alikuwa amemtia limbwata mfalme,
Mchawi huyu akauwa manabii wote nchini pake manabii wa Mungu aliye hai, waliopona kuuwawa walifichwa mapangoni huko.
Sasa Yehu mwana wa manabii akapata unabii kwamba aende kuutwaa ufalme wa Ahabu MUME wa Yezebel ambao ulikuwa chini ya mwanaye wa kiume Yoramu, baada ya Ahabu kufa.
(2 Kings 9:22,30,35-37)
22: Ikawa, Yoramu alipomwona Yehu,akasema, je ni Amani Yehu?
Akajibu, Amani gani,maadamu uzinzi wa mama yako Yezebeli na uchawi wake ni mwingi?
23: Yoramu akageuza mikono yake, akakimbia, akamwambia Ahazia, Ni uhaini, Ahazia.
30: Hata Yehu alipofika Yezreel, Yezebeli akapata habari, akatia uwanja machoni mwake,akapamba kichwa chake, akachungulia dirishani.
35: Wakaenda Ili kumzika, lakini hawakuona kitu ila kifuvu Cha kichwa chake,na miguu yake,, na vitanga vya mikono yake.
36: Hili ndilo Neno la BWANA alilolinena kwa kinywa Cha mtumishi wake Eliya, Mtishbi, kusema, Katika kiwanja Cha Yezreel mbwa wataila nyama ya Yezebeli.
Nawauliza wanawake, ujasiri wa Yezebel kujipaka wanja na kutia wigi Ili kumtega na kumroga Yehu Jemedari wa Jeshi, shujaa, ashindwe kutimiza kusudi la kumuondosha Yezebeli, ujasiri huo aliutoa wapi?
Karibuni 🙏
High hills vilibuniwa special Ili avaaye viatu hivyo ajiinue, atembee kama mbuzi.