florentina mkunde
New Member
- Aug 27, 2022
- 1
- 4
Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa
Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira serikalini isipokuwa nimejiajiri katika shughuli za uuzaji uji kwa mtaji wa shilingi elf 70000/= kwa mchanganuo ufuatao:
Ulezi kg 5@2000........10000
Mahindi lishe kg 2@2500....5000
Mchele kg 3 2000........6000
Maziwa lita 2 2000.........4000
Sukari kg 1 @3000.......3000
Sufuria moja ya kg 10 .....22000
Chupa ya chai moja kubwa.....18000
Vikombe 12 @3000.......3600
Jumla kuu 71600
Uji nauchemsha alfajiri saa kumi ili uive vizuri baada ya hapo ifikapo saa kumi na moja kamili naenda stend kuuza ambapo kikombe kimoja huwa nauza shilingi 500/=na kwa alfajiri nauza vikombe 30 sawa na shilingi 15000/=. Ikifika saa 12.30 narudi home kuandaa mwingine kwa ajili ya kuuza gereji kwa mangi na kwenye vituo vya bodaboda vilivyopo maeneo ya mjini ambapo nauza vikombe 50_80 ambapo ni kati ya shilingi 25000_40000, na kufanya jumla ya mauzo kwa siku kuwa shilingi 55000/=kwa siku na nikiondoa matumizi 19000/=ambapo ni ulezi, maziwa, mchele, mahindi lishe na sukari na gaharama za kusagia nabakia na faida ya shilingi 46000/=kwa siku ambapo naweza kupata mahitaji ya chakula kwa siku na akiba kidogo. Kwa kupitia ujasiriamali wa uuzaji uji najikimu na nimeweza kununua kiwanja kilichorasimishwa na halmashauri ya wilaya
Hakika ujasiriamali ni mkombozi wangu kiuchumi

Upvote
6