Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

Matanzia kizebazeba
 
Mkuu nilikua natafuta huu Uzi siupati.. Nashukuru nimechukua namba yako ntakutafuta
 
Juzi nilinunua paket ya yoghurt nikala na msosi nikalala, nakwambia nimeendesha usik mzima! Sitasahau mh, niliona huruma kuexpose brand name yao ila niliiisoma! Nini kinasababisha maziwa kusababisha hali hii, walikosea wapi
 
Juzi nilinunua paket ya yoghurt nikala na msosi nikalala, nakwambia nimeendesha usik mzima! Sitasahau mh, niliona huruma kuexpose brand name yao ila niliiisoma! Nini kinasababisha maziwa kusababisha hali hii, walikosea wapi
Kuna sababu mbili
1. Maziwa kuwa na mafuta mengi sana, hasa ng'ombe wa kienyeji huwa na fat contents nyingi. Ndio maana kunafanyika cream separation kupunguza fat. Tena inaweza kuwa walikupa maziwa ya juu.
Sijajua ni kiwanda kipi, lkn kama ni hivi vya wajasiriamali wadogo wengi hutumia mwiko kukoroga

2. Contamination ya maziwa wakati wanasindika, hasa baadabya kuchemsha na kupooza. Food hygiene haikuwa nzuri
 
Baada ya kuitengeneza Inaweza kukaa siku ngapi bila kuharibika
Mtindi unaweza kukaa mwezi mmoja katika friji la nyuzi joto centigrade 4 hadi 8. Ila yasigande na kuwa barafu.

Mtindi bila friji ni siku 10.

Yoghurt inawezankaa siku 22, kwenye friji katika nyuzi joto 4 hadi 8. Yoghurt bila friji ni siku 3 hadi 5.

Hapo iiiwa hygiene ni nzuri kipindi cha uzalishaji
 
Asante...
 
Kuna aliyeanzisha hii biashara na kufanikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…