Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

mbona mtindi umeingia mitini?
ukija kuelezea mtindi unistue
 
mkuu u hali gani, inafsi niko interested sana na hi biashara maana maziwa tunayo mengi ila namna ya kugandisha kisasa huo mtindi ni tabu, nakumbuka nilishawahi kutana na mtu anauza mtindi umeganda vizuri na umepoa hauna ule uchachu na mtu kau packing kabisa kwenye vyombo vya lita 5 tano, mkuu hiyo elimu ya mtindi naingoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…