Ujasusi: Herbert Curkus muuaji aliyeuliwa na kuhifadhiwa kwenye sanduku la kusafiria

Bonge la story kama unachek movie,, hii waitolee na movie kabisa, shukrani mkuu umetisha Sana.
 
Wamefanya kosa kumuacha hai mke na watoto wake, na vijukuu, na walioa na kuolewa kwenye familia ya curkus
 
Wamefanya kosa kumuacha hai mke na watoto wake, na vijukuu, na walioa na kuolewa kwenye familia ya curkus
Mzee kumbuka mission hyo ilimtarget yeye tu.
Siku zote watu wanakosea sana na mission yao inafeli kutokana na kutoka nje ya mipango.

Kwa mfano: wewe hapo Casio ukiambiwa nenda kamuue Mgirik unatakiwa udili na mgiriki tu na si vinginevyo. Labda ukute mazingiria aliyopo mgiriki yatakuletea shida ndio unaweza kufanya tofauti lakn ukifanya tofauti ujue utaacha tu alama ya wewe kujulikana
 
Wamefanya kosa kumuacha hai mke na watoto wake, na vijukuu, na walioa na kuolewa kwenye familia ya curkus
Hawana madhara... Na ikumbukwe Hizi mission za kijasusi za mossad huwa wana sera yao ya kutowagusa wasiohusika yaani hawataki collateral damage...
 
Dah mkuu umeelezea kiufupi ila vizuri mno, Hapo ni kama nmesoma kitabu cha Page 200 ndani ya Page 5 tu, Hongera.
Kwa Makala nyingine kama hizi uniTag Tafadhali🙏🏽
 
Dah mkuu umeelezea kiufupi ila vizuri mno, Hapo ni kama nmesoma kitabu cha Page 200 ndani ya Page 5 tu, Hongera.
Kwa Makala nyingine kama hizi uniTag Tafadhali🙏🏽
Karibu ... Usiache kusoma na zingine humu nlizoziweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…