comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Kama TISS ina hadi akina makonda basi ndo maana hadi sasa hatujielewielewi kama taifa
Muongo huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama TISS ina hadi akina makonda basi ndo maana hadi sasa hatujielewielewi kama taifa
Afrika hakuna mzalendo viongozi wote ni wa binafsi hata kama waajiriwe usalama au Jeshi hakuna mpyaMods naomba mnirekebishie heading na isomeke hivi,
Ujasusi na uongozi: Mafanikio ya rais Putin katika kuirejesha tena Urusi, viongozi wa Afrika wana kitu cha kujifunza hapa.
Cc JamiiForums.
Lakini wale waasisi na wapigania uhuru wa mwanzo wengi si walikuwa wazalendo na walikuwa na nia ya dhati kuwatumikia raia wao na kuongoza mapambano dhidi ya umaskini mfano Kwame Nkurumah, Patrice Lumumba, Mwalimu Nyerere, Keneth Kaunda, Mandela nk.Afrika hakuna mzalendo viongozi wote ni wa binafsi hata kama waajiriwe usalama au Jeshi hakuna mpya
Mmmmmmmmmmmmmm[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Putin alichokifanya 2016 kasaidia Russia kupata influence kiasi flani katika mashariki ya kati kwa kitendo cha kusimama na Bashir Al Asad hadi mwisho.
Marekani pia ameweza ku'influence election to his favor. Ulaya vyama pinzani vingi vyenye mrengo wa kulia inasemekana kavikopesha mabilion ya pesa. Hii itasaidia Russia kuondolewa vikwazo vya uchumi hapo baadaye endapo vyama hivi vya upinzani vikiingia madarakani.
Huko Marekani Trump ameshaahidi kuondoa vikwazo ambavyo tayari Russia amewekewa endapo akishaapishwa January 20.
Bottom Line ni kwamba Putin kasaidia Russia kuirudisha kwenye influence katika siasa za kimataifa.
Ila kiuchumi na nguvu za kijeshi bado Russia ipo katika hali mbaya sana. Ni Super Power in terms of military superiority waliyo nayo katika nuclear bombs lakin kwa technological sophstication na uwezo wa kiuchumi bado sanaaaaa.
kwani wana kasoro gani!Muongo huyo
kwani alijuajekwani wana kasoro gani!
Fanya research ya kujua uchumi wa urusi kabla na baada ya Putin..Putin na Urusi wamefanikiwa sana kwenye kurudi kwenye siasa za dunia ila kwenye uchumi na technology bado sana. Putin kwa kuwadhibiti wapinzani wake na media amefanikiwa kuilisha dunia propaganda kuwa kila kitu kiko sawa kinyume na ukweli wenyewe.
Hata kijeshi nguvu za Urusi hazipo kwenye sophisticate military welfare bado anaamini katika jeshi lenye watu wengi wenye ujuzi duni. Mataifa mengi yaliyoendelea wanawekeza pesa nyingi kwenye R & D ya silaha na teknolojia za kivita za hali ya juu, hii ni pamoja na kuendesha vita kwa staili nyinginezo zikiwamo za kucontrol mind za wengine na silaha nyingine za kuathiri mienendo ya kibinadamu.
Kiuchumi hatuhitaji kuzungumza sana Urusi ana hali mbaya kupita maelezo. Unavyoona duniani watu wanarace kupigania rasilimali Afrika na kwingineko halafu yeye katulia si kwamba ameridhika na pesa, hana pesa ya kuwekeza huku.
Move mbovu aliyofanya ni kuweaken private sector nje ya Gazprom uwezo wa kufanya uwekezaji wa maana nje ya Urusi hana.
Fanya research ya kujua uchumi wa urusi kabla na baada ya Putin..
So hoja ni nini..?Hiyo si hoja. Kila nchi huimprove with time however improvement ya Urusi ni ndogo kuliko super powers nyinginezo.
Na mpaka sasa hali nje ya Moscow ni ngumu mno na ya kuogofya. Wale wote wanaotaka kujitenga na Urusi wanataka kwa sababu ya hali ngumu ya kiuchumi na wamechoka kuipendezesha Moscow pekee.
Mkuu technological??dude plzPutin alichokifanya 2016 kasaidia Russia kupata influence kiasi flani katika mashariki ya kati kwa kitendo cha kusimama na Bashir Al Asad hadi mwisho.
Marekani pia ameweza ku'influence election to his favor. Ulaya vyama pinzani vingi vyenye mrengo wa kulia inasemekana kavikopesha mabilion ya pesa. Hii itasaidia Russia kuondolewa vikwazo vya uchumi hapo baadaye endapo vyama hivi vya upinzani vikiingia madarakani.
Huko Marekani Trump ameshaahidi kuondoa vikwazo ambavyo tayari Russia amewekewa endapo akishaapishwa January 20.
Bottom Line ni kwamba Putin kasaidia Russia kuirudisha kwenye influence katika siasa za kimataifa.
Ila kiuchumi na nguvu za kijeshi bado Russia ipo katika hali mbaya sana. Ni Super Power in terms of military superiority waliyo nayo katika nuclear bombs lakin kwa technological sophstication na uwezo wa kiuchumi bado sanaaaaa.
alipokuwa na miaka 16 alienda makao makuu ya KGB na kuomba kujiunga. wakamwambia wao ndiyo hufuata watu. akawauliza ni kozi gani itammsaidia kujiunga, wakamwambia sheria na chuo kweli alisomea sheria. mbongo leo ukienda makao makuu ya TISS unaweza chezea vitasa.
Putin alichokifanya 2016 kasaidia Russia kupata influence kiasi flani katika mashariki ya kati kwa kitendo cha kusimama na Bashir Al Asad hadi mwisho.
Marekani pia ameweza ku'influence election to his favor. Ulaya vyama pinzani vingi vyenye mrengo wa kulia inasemekana kavikopesha mabilion ya pesa. Hii itasaidia Russia kuondolewa vikwazo vya uchumi hapo baadaye endapo vyama hivi vya upinzani vikiingia madarakani.
Huko Marekani Trump ameshaahidi kuondoa vikwazo ambavyo tayari Russia amewekewa endapo akishaapishwa January 20.
Bottom Line ni kwamba Putin kasaidia Russia kuirudisha kwenye influence katika siasa za kimataifa.
Ila kiuchumi na nguvu za kijeshi bado Russia ipo katika hali mbaya sana. Ni Super Power in terms of military superiority waliyo nayo katika nuclear bombs lakin kwa technological sophstication na uwezo wa kiuchumi bado sanaaaaa.
hapo kwenye kuweaken private sector. Putin alijua karata ya nchi yake ni rasilimali alizonazo. angeacha hizo ziingiliwe na mitaji ya watu wa magharibi alijua anauza nchi. hivyo akabana sana hapo. na matajiri wa ndani pia akawabana na wengi aligombana nao. Warusi wamesoma sana na wajanja wwajanja sana. Russian mafia inawasomi sana. angewalegezea nchi ingemshinda.Putin na Urusi wamefanikiwa sana kwenye kurudi kwenye siasa za dunia ila kwenye uchumi na technology bado sana. Putin kwa kuwadhibiti wapinzani wake na media amefanikiwa kuilisha dunia propaganda kuwa kila kitu kiko sawa kinyume na ukweli wenyewe.